Nahitaji rafiki wa hiari diaspora

Nahitaji rafiki wa hiari diaspora

Joined
Apr 24, 2018
Posts
17
Reaction score
9
....salaam wana jukwaa:

....Lengo la uzi huu napenda kupata rafiki (best friend) diaspora.

....Rafiki huyu ninae tamani kukutana nae ningependa awe anaishi nje atleast kwa miaka kuanzia 4+.... Mzoefu wa vitu mbalimbali,Na kama ametembelea nchi mbalimbali itapendeza sana.

....Rafiki huyu ningependa awe ni mtu anaejitambua, mwenye ufahamu wa mambo mbalimbali, kijamii, masomo n.k.

....Urafiki wetu utakuwa ni wa ku share mambo personal, ushauri ambayo sio ya kuweka hapa jukwaani.
....Kama wewe ni mhusika (diaspora) umependwezwa na nilichokiandika hapa please karibu sana pm.

....Mimi ni ke na rafiki ninaemtaka awe Me/ke so long as lengo langu litimie.

....Asanteni sana, mhusika karibu sana njoo direct Pm tuongee.
 
Diaspora. .......

Sijui nikusaidie kuwaita. .... Ila acga waje wenyewe.

Mie ni diaspora wa Africa kuna vigezo havijatimia.
Kila la kheri, Kasie Mahaba.
 
Back
Top Bottom