Nahitaji rafiki wa hiari diaspora

Nahitaji rafiki wa hiari diaspora

Nini tofauti kati ya abroad na diaspora?

Kama kuna tofauti......,
diaspora inaanzia wapi? Maana ata msumbiji ni abroad
 
Nipo natokea Morroco nipo safarini naelekea Palestina kwa sasa, niliwahi kukaa Vaticani, na Sudan kama huna ubaguzi you are most wellcome, ila zote hizo ni za hapa hapa mitaa ya Dar, kama hutajali
 
Nipo natokea Morroco nipo safarini naelekea Palestina kwa sasa, niliwahi kukaa Vaticani, na Sudan kama huna ubaguzi you are most wellcome, ila zote hizo ni za hapa hapa mitaa ya Dar, kama hutajali

....dah Jf raha nimecheka sana aisee, asante kuchangia. 😁😁😁😁 eti ubaguzi dah😁 sina ubaguzi bana
 
Back
Top Bottom