Nahitaji Rafiki wa kiume

Nahitaji Rafiki wa kiume

Mabinti hawako huru kabisa unaweza kukuta anataka samaki lakini akaomba nyoka,maisha yalivyo kasi na upate shida ya kujibana khaaaaa..!unataka ubadilishane nae mawazo gani aaagghrrr.
 
Hapa kataja elimu, ila tukijitokeza sisi walimu atatupotezea. Haya bana, kila la kheri.
 
Mabinti hawako huru kabisa unaweza kukuta anataka samaki lakini akaomba nyoka,maisha yalivyo kasi na upate shida ya kujibana khaaaaa..!unataka ubadilishane nae mawazo gani aaagghrrr.

Naweza nikawa tofauti na unao wafahamu ningetaka mchumba,mume ningesema nahitaji mchumba au mume narudia nahitaji Rafiki
 
Back
Top Bottom