Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Anazunguuka longolongo nyingi🤣🤣Ww ni mvulana.
Alaf why awe mwanamke?.
Kwanini usitafute roommate wa kiume, Wanachuo kibao wanaungana na wanachukua nyumba nzima. Hapo Sinza, Survey na Ubungo wako Weng sana wanaofanya collabo ya namna hiyo.
Ila ni same sex na sio nyumba moja kuwe na opposite Sex.
Hiki kitu unachofanya ni kuoa.
Na kuoa mwanamke hatakiwi achangie kodi. Komaa kama mwanaume.
Astghafirullah 😅😅😅 siku jinsia Y ikiwa onMimi hapa nipo nna jinsia mbili na zote ziko active inategemea ipi siku hiyo imeamka na nguvu..!!
Vipi nafasi napata tushee kodi 😹
6×6 ipi sasa kwamba atakua anamleta huyo mtu wake ndani?Kuna mmoja apa nimempa taarifa hiyo kasema yuko tayari ila kaeka masharti kwamba hataki umtongoze,hataki uwe na wivu nae,pia hataki fujo wakati wakiwa kwenye 6×6 na baby wake
Safi kabisa kijana, vipi nanyi vijana Intelligent businessman Poor Brain mshamba_hachekwi mna Nini hapo mpate roommates chap chap...Binafsi nina WiFi
Demu sio mkeSema unatafuta mke acha kuzunguka zunguka.
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.
Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata tuki share bed no problem au tukigawe chumba in two half, hilo halina shida.
Nakula migahawani tu ila kama ukiridhia tunaweza ku share jiko pia UKIRIDHIA.
Do and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you.Sasa si unge sema tuu kwamba una taka kuowa mkuu