Nahitaji roommate wa kike kupunguza gharama za maisha DSM

Nahitaji roommate wa kike kupunguza gharama za maisha DSM

Maeneo yalipo vyuo kwa Dsm ukiwa na 50/60/70 huwezi kosa room ya kiuanafunzi, ukishakua na room ndo unapiga zile sogea tukae za kutosha unabadilisha kila semester.
 
Ishi kulingana na kipato chako, kwanini uteseke hivyo, Lol.

Hakuna kitu siwezi km kuishi kwa kushea, nakua siko huru kabisa, yaani Siwezi afu siwezi Tena.

Ila Uko sahihi kuchagua jinsia tofauti na yako, kuna kitu unaepuka pia.
Kila la kheri kwako.
 
Mimi hapa nipo nna jinsia mbili na zote ziko active inategemea ipi siku hiyo imeamka na nguvu..!!
Vipi nafasi napata tushee kodi 😹
Haa Oops Najua Mpaka Sasa Jamaa Hawezi Kubali Unaweza Kumpa Nafasi Atafute PF 3 Ya Police Kabisa
 
150k - 250k ukigawanya kwa mbili ni 75k hadi 125k

Ukiwa maeneo ya Kimara hadi Mbezi Mwisho unapata chumba self kwa hiyo gharama

Ukiwa maeneo ya Mbagala, unapata self kwa 50k hadi 80k

Hii itakupunguzia gharama kuliko hiyo alternative yako ya kwenda kushea chumba na huyo roommate wa kike

Wanasema Likely charge repel each other, unlikely charge attract each other

Baada ya miezi 3 ya kushea chumba utaanza kuambiwa mwenzio hazioni siku zake

Kazi ni kwako
 
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.

Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata tuki share bed no problem au tukigawe chumba in two half, hilo halina shida.

Nakula migahawani tu ila kama ukiridhia tunaweza ku share jiko pia UKIRIDHIA.

Do and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you.
Mtegi huu😂😂
 
Ww ni mvulana.

Alaf why awe mwanamke?.

Kwanini usitafute roommate wa kiume, Wanachuo kibao wanaungana na wanachukua nyumba nzima. Hapo Sinza, Survey na Ubungo wako Weng sana wanaofanya collabo ya namna hiyo.

Ila ni same sex na sio nyumba moja kuwe na opposite Sex.

Hiki kitu unachofanya ni kuoa.
Na kuoa mwanamke hatakiwi achangie kodi. Komaa kama mwanaume.
Errr, hilo nalo neno!
Jamaa anatakiwa ajipatie jiko kiujanja ujanja.
'Janja ya panya kwisagunduliwa'.
 
Back
Top Bottom