Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Uzuri ukiwa chuo home wanakupa support wanakutumia hela, mchele, mafuta ya kupikia etcSitaweza lolotee. 😂😂😂😂😂
Uzuri ukiwa chuo home wanakupa support wanakutumia hela, mchele, mafuta ya kupikia etcSitaweza lolotee. 😂😂😂😂😂
Kawaida sanaa.Uzuri ukiwa chuo home wanakupa support wanakutumia hela, mchele, mafuta ya kupikia etc
Ndiyo sababu chumba anacho na analipa kodi6×6 ipi sasa kwamba atakua anamleta huyo mtu wake ndani?
Sasa chumba si cha share na mwenzie jamani😅Ndiyo sababu chumba anacho na analipa kodi
Hii mbinu nimeikubari sana hii, kimkakati zaidi wale wa kulea wana wanakwambia kizazi zaidi, ila kuna siku utapigwa exile manzi achezee ilibolo fc kidogo kutoka kwa ndonga ya shemeji yakoDo and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you.
Anatafuta Mshangazi wa bei nafuuKwanini mwanamke na si mwanaume? Wewe sema tu unataka wa kukupunguza makali mwilini, huyo mwanamke akija hapo amini kwamba hakuna gharama itakayopungua zaidi ya kuongezeka maradufu.
Watoto wa Vyuo wanafanya sana hio ila wanaishiaga kupigana miwa tu kuanzia 1st semester 1st year hadi 2nd semester last year wao ni kupigana miwa tu, halafu wakimaliza Chuo kila mtu anaenda na njia yake yaan washapigana sana miwa gongana sana wakiwa ChuoniKwa dunia ilivyo kasi nakuelewa ukitaka room mate wakike
Mtihani sanaWatoto wa Vyuo wanafanya sana hio ila wanaishiaga kupigana miwa tu kuanzia 1st semester 1st year hadi 2nd semester last year wao ni kupigana miwa tu, halafu wakimaliza Chuo kila mtu anaenda na njia yake yaan washapigana sana miwa gongana sana wakiwa Chuoni
We jamaa wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ww ni mvulana.
Alaf why awe mwanamke?.
Kwanini usitafute roommate wa kiume, Wanachuo kibao wanaungana na wanachukua nyumba nzima. Hapo Sinza, Survey na Ubungo wako Weng sana wanaofanya collabo ya namna hiyo.
Ila ni same sex na sio nyumba moja kuwe na opposite Sex.
Hiki kitu unachofanya ni kuoa.
Na kuoa mwanamke hatakiwi achangie kodi. Komaa kama mwanaume.
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 70k-100k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.Safi kabisa kijana, vipi nanyi vijana Intelligent businessman Poor Brain mshamba_hachekwi mna Nini hapo mpate roommates chap chap...