ππππππ mbavu zangu mie.Mimi hapa nipo nna jinsia mbili na zote ziko active inategemea ipi siku hiyo imeamka na nguvu..!!
Vipi nafasi napata tushee kodi πΉ
πππππBaada ya mwezi mmoja mtaanza kuitana mme wangu..mke wangu
Mme wangu nkupikie Nini..mke wangu niwekee chakula nna njaa...
Mke wangu nimesahau funguo ndani nakuja nifungulie..
Labda ushee room na jambazi la mpakani mutukula
Hivi watu wanawezajee hii kitu? Mie ilinishinda kabisaa. LolMaeneo yalipo vyuo kwa Dsm ukiwa na 50/60/70 huwezi kosa room ya kiuanafunzi, ukishakua na room ndo unapiga zile sogea tukae za kutosha unabadilisha kila semester.
Hali tete inawezekana mleta mada ni "mtoto wa watu"Dunia inaenda kasi sana, roommate wa opposite sex.
ππππHali tete inawezekana mleta mada ni "mtoto wa watu"
Maamuzi tu, sasa wewe mwanaume kama hili dogo litakushinda utaweza lipi?Hivi watu wanawezajee hii kitu? Mie ilinishinda kabisaa. Lol
Nina mjegejo tuSafi kabisa kijana, vipi nanyi vijana Intelligent businessman Poor Brain mshamba_hachekwi mna Nini hapo mpate roommates chap chap...
Haa Oops Najua Mpaka Sasa Jamaa Hawezi Kubali Unaweza Kumpa Nafasi Atafute PF 3 Ya Police KabisaMimi hapa nipo nna jinsia mbili na zote ziko active inategemea ipi siku hiyo imeamka na nguvu..!!
Vipi nafasi napata tushee kodi πΉ
Mtegi huuππMimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.
Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata tuki share bed no problem au tukigawe chumba in two half, hilo halina shida.
Nakula migahawani tu ila kama ukiridhia tunaweza ku share jiko pia UKIRIDHIA.
Do and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you.
Siwezi kupanga chumba kimoja na mgonjwa. Unakuwaje na 2 na ziko active? Unataka kunifanya nini mtoto wa mwenzao?Mimi hapa nipo nna jinsia mbili na zote ziko active inategemea ipi siku hiyo imeamka na nguvu..!!
Vipi nafasi napata tushee kodi πΉ
Errr, hilo nalo neno!Ww ni mvulana.
Alaf why awe mwanamke?.
Kwanini usitafute roommate wa kiume, Wanachuo kibao wanaungana na wanachukua nyumba nzima. Hapo Sinza, Survey na Ubungo wako Weng sana wanaofanya collabo ya namna hiyo.
Ila ni same sex na sio nyumba moja kuwe na opposite Sex.
Hiki kitu unachofanya ni kuoa.
Na kuoa mwanamke hatakiwi achangie kodi. Komaa kama mwanaume.
Sitaweza lolotee. πππππMaamuzi tu, sasa wewe mwanaume kama hili dogo litakushinda utaweza lipi?