Nahitaji roommate wa kike kupunguza gharama za maisha DSM

Do and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you.
Hii mbinu nimeikubari sana hii, kimkakati zaidi wale wa kulea wana wanakwambia kizazi zaidi, ila kuna siku utapigwa exile manzi achezee ilibolo fc kidogo kutoka kwa ndonga ya shemeji yako
 
Kwanini mwanamke na si mwanaume? Wewe sema tu unataka wa kukupunguza makali mwilini, huyo mwanamke akija hapo amini kwamba hakuna gharama itakayopungua zaidi ya kuongezeka maradufu.
Anatafuta Mshangazi wa bei nafuu
 
Kwa dunia ilivyo kasi nakuelewa ukitaka room mate wakike
Watoto wa Vyuo wanafanya sana hio ila wanaishiaga kupigana miwa tu kuanzia 1st semester 1st year hadi 2nd semester last year wao ni kupigana miwa tu, halafu wakimaliza Chuo kila mtu anaenda na njia yake yaan washapigana sana miwa gongana sana wakiwa Chuoni
 
Mtihani sana
Dah
 
We jamaa wewe 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Safi kabisa kijana, vipi nanyi vijana Intelligent businessman Poor Brain mshamba_hachekwi mna Nini hapo mpate roommates chap chap...
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 70k-100k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.

Binafsi nina WiFi, Ofisi ya Graphics design na Vitu vya ndani vyote vipo tayari so hata tuki share bed no problem au tukigawe chumba in two half, hilo halina shida.

Nakula migahawani tu ila kama ukiridhia tunaweza ku share jiko pia UKIRIDHIA.

Do and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you

Hint.. awe na umri mkubwa pia awe na T3 nikimanisha Tako, Titi na Tumbo kiasi
 
Umenikumbusha mbali. Nilipokuwa masomoni huko majuu, wadada walipenda sana lift za ku share vyumba ili aweze kusave na kurudi na kitu nyumbani. Utakuta mwanamme ndiye anagharimia kila kitu kuanzia kodi, milo nk. Mkimaliza masomo kila mtu anaishia zake. Cha kusikitisha utakuta wengine ni wake za watu. Just Imagine mwaka mzima mke wako anakuwa mke wa mwingine. Sasa wewe unayetafuta mwanamke wa ku share apartment, itakula kwako unless unatafuta mke wa njoo tuishi pamoja lakini otherwise unajitafutia matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…