Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Sasa mkuu utajuaje kama ametumika sana au hajatumika??Je wewe umetumika sana au hujatumika??Ushauri wangu kwako huyo mke unayemtaka yupo ulipo jaribu kumtafuta ulipo na utapata utafutaji mwema
 
If you want a good wife "go out and find them where they are" sio unakaa ndani halafu unaanza "Oh Lord I want a good wife ,a primary or secondary school teacher".
We neenda ukatembelee shule za msingi na secondary ,mbona utachukua unaemtaka halafu huko wako wazuri mno,kazi kwako
 
mkuu nina uwezo wa kugundua hilo amini mkuu,mi mwenyewe nimekuwa muaminifu sana mkuu ktk suala zima la zinaa,uzinifu ninaamini ktk kauli kuwa Mungu hukupatia mwanamke kulingana na tabia yako ilivyo
 
If you want a good wife "go out and find them where they are" sio unakaa ndani halafu unaanza "Oh Lord I want a good wife ,a primary or secondary school teacher".
We neenda ukatembelee shule za msingi na secondary ,mbona utachukua unaemtaka halafu huko wako wazuri mno,kazi kwako
safi mkuu nimeipend hiyo ila kutangaza fursa si vibaya mkuu
 
If you want a good wife "go out and find them where they are" sio unakaa ndani halafu unaanza "Oh Lord I want a good wife ,a primary or secondary school teacher".
We neenda ukatembelee shule za msingi na secondary ,mbona utachukua unaemtaka halafu huko wako wazuri mno,kazi kwako
nimekuwa buzy kweli mkuu ila hata humu naamini wamo great thinkers hata kama wana dada zao hii ni fursa ila terms and conditions must be applied
 
Hivi kuna binti ambae 'hajatumika sana' mpaka sasaivi... (joke)

Nakuombea kila la heri umpate mkuu
siku hizi kuna vipimo pale reagency vinatanabaisha kama binti katumika sana au la niamini ktk hilo ila mi sitafikia huko nina mbinu zangu nitakazotumia
 
Back
Top Bottom