Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Nenda shuleni hasa vijijini uko ndo hawatumiki sana..hapa mjin wanatumiwa haswa
 
Ninaweza kukupa namba zao mkuu njoo pm .

Wanabebeka kirahisi tu ilimradi use na ngawira.
 
Kuna mtu anajiita mhandisi msomi huku mtaan ukute ni wewe?? Waandisi nao ni wasomi kama 'wakiri msomi??
 
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Kuoa Mwalimu lazima ujiandae kisaikolojia waalimu huwa wanawaza kila mtu ni mwanafunzi huko ndani ujiandae kupokea amri kila mara hata mbele za wageni.
 
Waalimu wanastress tokea siku ya kwanza ya kutoka kwa ajira zao,
Wengi wanachaguliwa sehemu za kazi wasizozitaka hvyo stress zinaanzia hapo mpaka wanastaaf jiandae kisaikolojia kabisa mkuu
 
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Zunguka mashulen
 
Back
Top Bottom