Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah! Fursa hazikupiti!!!!!!!Unakwenda lini twende wote?
itakuwa anapimia ile carbon-14Hahahaha eti Meter
tusomee meter hapo, inasoma ngapi?Aiseeh ng'ombe wa maskini hazai, vigezo vyote ninavyo tatizo sijaelewa hicho kigezo cha kuto kutumika sana tafadhali mkuu naomba ufafanuzi juu ya hicho kigezo ili hii fursa isinipite [emoji26][emoji26]
Hujaona hicho kipengele, msisitize asije poteza pesa na muda alafu akawa disqualifiedutapita kwenye vipimo? au hujaona hicho kipengele
si ndo hapo? afu simwoni tena sijui ndo ubusy wa chuo....,Hujaona hicho kipengele, msisitize asije poteza pesa na muda alafu akawa disqualified
Tafadhali korboto kaa kimya Embu usinikoseshe fursa muache mwenyewe afafanue amemaanisha nini hapo.tusomee meter hapo, inasoma ngapi?
Hadi nimalize nitakuwa nimechelewa, ngoja nikasome tu kwa faida ya baadae.utapita kwenye vipimo? au hujaona hicho kipengele
hahaha kwamba huenda na sisi wengine tukaulizia au siyoHadi nimalize nitakuwa nimechelewa, ngoja nikasome tu kwa faida ya baadae.
Yaani acha tu, ngoja nikasome maana fursa zinanipita hivi hivi.Hahah! Fursa hazikupiti!!!!!!!
Eeeh!! Just in case you know!!hahaha kwamba huenda na sisi wengine tukaulizia au siyo
Duuuh noma mkuuitakuwa anapimia ile carbon-14
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani acha tu, ngoja nikasome maana fursa zinanipita hivi hivi.
Vipi wewe hautaki mwalimu? Tusije tukasoma alafu kurudi mnataka wanajeshi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ukimaliza uende na unesi pia, maana sio kwa ubaguzi huuHadi nimalize nitakuwa nimechelewa, ngoja nikasome tu kwa faida ya baadae.
Mtumiko vipiiii... utampata sayari ya jupiter ama pluto ... Mabinti 99% tumetumika haswa ... Hhahhahahahhahhhah uwiiiiiii sio kwa karne hii
nimekuwa buzy kweli mkuu ila hata humu naamini wamo great thinkers hata kama wana dada zao hii ni fursa ila terms and conditions must be applied
Hahahah! Mh! Walimu ni wababe sana. Wanamuona kila aliye mbele yake ni mwanafunzi wake. Unaweza pokea bakora hivihivi.Yaani acha tu, ngoja nikasome maana fursa zinanipita hivi hivi.
Vipi wewe hautaki mwalimu? Tusije tukasoma alafu kurudi mnataka wanajeshi[emoji134] [emoji134] [emoji134]