Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Nenda face book wengi huwapatia kule .hakuna safu maalum ya wachumba ila jipendekeze kusalimia salimia (jichanganye nao kwa malengo .)kila la kheri .
 
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Kuoa walimu wakike ?????????? Daaahh bro !!!,
 
Mkuu mleta mada. Ivi kuna wanaooa walimu wa kiume wa Sekondari au Shule ya Msingi.
 
Sasa mkuu utajuaje kama ametumika sana au hajatumika??Je wewe umetumika sana au hujatumika??Ushauri wangu kwako huyo mke unayemtaka yupo ulipo jaribu kumtafuta ulipo na utapata utafutaji mwema

Labda ana kipimo aseeeee...Akiweka tu, anajua huyu katumika au la?
 
Kuna teacher mmoja alileta uzi humu bhana, em kamcheki
 
Kama ingekuwa walimu wa zamani wa kike ningekuunga mkoni ila kama ni hawa wa sasa hapana ,,,
 
Hajatumika upande gani kwa sababu siku hizi wanatumia tigo Sana ili Kalinda bikra
 
Back
Top Bottom