chibuga mugeta
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,176
- 1,054
Sasa mkuu utajuaje kama ametumika sana au hajatumika??Je wewe umetumika sana au hujatumika??Ushauri wangu kwako huyo mke unayemtaka yupo ulipo jaribu kumtafuta ulipo na utapata utafutaji mwemaMi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
mkuu nina uwezo wa kugundua hilo amini mkuu,mi mwenyewe nimekuwa muaminifu sana mkuu ktk suala zima la zinaa,uzinifu ninaamini ktk kauli kuwa Mungu hukupatia mwanamke kulingana na tabia yako ilivyoSasa mkuu utajuaje kama ametumika sana au hajatumika??Je wewe umetumika sana au hujatumika??Ushauri wangu kwako huyo mke unayemtaka yupo ulipo jaribu kumtafuta ulipo na utapata utafutaji mwema
safi mkuu nimeipend hiyo ila kutangaza fursa si vibaya mkuuIf you want a good wife "go out and find them where they are" sio unakaa ndani halafu unaanza "Oh Lord I want a good wife ,a primary or secondary school teacher".
We neenda ukatembelee shule za msingi na secondary ,mbona utachukua unaemtaka halafu huko wako wazuri mno,kazi kwako
nimekuwa buzy kweli mkuu ila hata humu naamini wamo great thinkers hata kama wana dada zao hii ni fursa ila terms and conditions must be appliedIf you want a good wife "go out and find them where they are" sio unakaa ndani halafu unaanza "Oh Lord I want a good wife ,a primary or secondary school teacher".
We neenda ukatembelee shule za msingi na secondary ,mbona utachukua unaemtaka halafu huko wako wazuri mno,kazi kwako
mi naamini wapo humu na wengine wana jamaa zao watawaelezeaWapo
hapana mkuu niko vzr najiamini ktk hili ndio maana nimetoa angalizo sitaki wale used sana ila bikira atapewa kipaumbelemi naamini wapo humu na wengine wana jamaa zao watawaelezea
siku hizi kuna vipimo pale reagency vinatanabaisha kama binti katumika sana au la niamini ktk hilo ila mi sitafikia huko nina mbinu zangu nitakazotumiaHivi kuna binti ambae 'hajatumika sana' mpaka sasaivi... (joke)
Nakuombea kila la heri umpate mkuu
duuuuh howKuwa mwanafunzi
Hivi kwani ina mita ya kuhesabu watumiaji?[emoji3][emoji3][emoji3]"asiwe aliyekwisha tumika sana"
Hahahahaha mkuu usiwaze utampata..kila la heri