Mkoa gani unapendelea, na nia aina gani ya kilimo unataka kufanya? Na walau bajeti yako kwa ekari umetenga kiasi gani ili pia tuweze kukushauriHabari mabibi na mabwana?
Naomba mwenye kujua yanapopatikana mashamba ya bei nafuu, mashamba yanayofaa kwa shughuli za kilimo na ufugaji anifahamishe.
Ningependa kufahamu bei kwa ekari na ukubwa. Mimi ni mjasiriamali mdogo hivyo mtaji wangu pia siyo kubwa kihivyo.
Naomba kusaidiwa.
Unmpa Bure?Mimi nina heka 4 Chalinze bado sijalilima, njoo uangaike nalo sitaki hata mia yako njoo ulime tu
Ndyo,Unmpa Bure?
Maswali kibao,kama una shamba taja location na bei yako, acha usumbufuMkoa gani unapendelea, na nia aina gani ya kilimo unataka kufanya? Na walau bajeti yako kwa ekari umetenga kiasi gani ili pia tuweze kukushauri
Wewe nawe mbona unakuwa kama sio kilaza? Mtu anakwambia anataka shamba, hajasema budget au location. Utamuelewa? Mtu akija kukwambia anataka nyumba, lazima utamuuliza budget na location. Usitumie makalio kufikiriMaswali kibao,kama una shamba taja location na bei yako, acha usumbufu
Chalinze sehemu gani?Mimi nina heka 4 Chalinze bado sijalilima, njoo uangaike nalo sitaki hata mia yako njoo ulime tu
Huko ardhi ipo ya kutosha mkuu?Twende Mvumi, Dumila
We subiri shemeji yako alete ule ulale, haya mambo ya wakubwa huyawezi, wewe ni kula kulalaMaswali kibao,kama una shamba taja location na bei yako, acha usumbufu