Nahitaji shamba la kununua



Shamba ninalo lina rutuba ya kutosha linafaa kwa kilimo na ufugaji. Lina ukubwa wa heka 10 pia lina banda kubwa la kufugia
 
Lipo lukobe milioni 2 ,eneo la mayanga
 
Samahan si wote tunajua lukobe ni wapi, hebu tunaomba ufafanuzi zaidi. Na bei million 2 Kwa shamba lote
 
LIPO MKENGE NJIA YA BAGAMOYO NINA HEKA 3 NAITAJI 3.5M NO DALALI +255715160365
 
Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe
Nina shamba nauza. Shamba lipo Morogoro Kijiji Cha Luwe, wilaya ya Mvomero.

Zipo ekari kumi zinauzwa zote kwa pamoja jumla tsh milioni sita tu (6M). Kama unahitaji ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…