Nahitaji support kwenye Tech entrepreneurship

Ahsante kwa historia! Ukiwa na wazo lako, hao unaosema hawakuwa wabia sahihi ni ulitegemea watakupa mtaji au nini? Sina uhakika, ila sijui kama umewajaribu hawa mabilionea wa Tz, kama wangependa kuwekeza kwenye nyanja zako?
Ahsante pia, Kwa wote nilitegemea mtaji na story zao zinafanana. Mmoja wapo ni jamaa yangu ambaye namfahamu yeye alinihakikishia ana watu ambao wanaweza kusponser mawazo yangu ya biashara, so nikaandaa proporsals za biashara tatu za mtaji mdogo na kati ambazo nilitumia muda mrefu kufanya research zake, baada ya kumpelekea alinipongeza sana kwa kazi nzuri, then alinambia nimwache atanijulisha ila alipotea moja kwa moja na proporsals zangu, Baada ya hapo sijajaribu zaidi kwengine.
 
Sina uhakika, ila sijui kama umewajaribu hawa mabilionea wa Tz, kama wangependa kuwekeza kwenye nyanja zako?

Bado ila Kufikia kwa hao Billionnaires ni moja ya target yangu but nafikiri kwanza nipate right team tutengeneze co-foundation za projects zetu, tutengeneze kampuni imara tuwe na patent right, naamini kupitia team tutatengeneza competitive ideas.
 
T
Habari za wakati huu JF Members.
Dhumuni la thread hii ni kutafuta partners wa kushirikiana nao Kuunda team kudevelop ideas na kuzibadili ideas hzo kuwa ajira kwetu na kwa vijana wenzetu.

Nimekuwa nikiwasoma baadhi ya wajasiriamali waliofanikiwa katika ujasiriamali teknolojia, Namna walivyohustle kufika walipo, trials and errors, Attitude zao, passion na ethuasism walizokuwa nazo. Hawakuwa watu wa kukata tamaa, sio waoga kujaribu na kupresent wanavyofikiri, waliinvest much time kwenye fikra walizokuwa nazo na namna zitakavyobadilika, kusaidia jamii na kuwa hela. Kupitia wao nimeona kuna kitu sisi wengine pia tunaweza kufanya na attitude yangu ipo kwenye entrepreneurship kama mkombozi mkuu kimaisha .Nimeshafikiria ideas tofauti till now, nimeshajaribu kufuatilia na kushiriki startup challenges tofauti japo sijafanikiwa hata moja ila sijawahi kukata tamaa, Nishaandikia watu business proporsals zaidi ya moja japo hazikuwahi kuwa implemented kwa sababu watu nliwaendea hawakuwa watu sahihi. Naamini wapo wengi zaidi yangu mimi humu ambao wanainvest much time on thinking about tech na entrepreneurship so nahisi itakuwa jambo jema kama nitapata team ya wazalendo kadhaa ambao tunaweza kukaa chini na kuunganisha tulivyonavyo ili tuweze kufikia malengo, pia kama kuna mtu atataka kuinvest kwenye ideas zetu asisite kusupport.

Mifano ya Successful Technology entrepreneurs kutoka Tz.

1)Andron mendes.
Huyu ni MTanzania mwenye miaka 37, Aliuza kampuni ya Kopa gas kwa kampuni moja ya waingereza inayoitwa Circle gas kwa Tsh Bilion 57.4 mwaka 2018. Jamaa alishawahi kupresent Ideas 17 mara ya kwanza kwenye startup challenge uturuki but those had failed ila hakukata tamaa aliendelea kuamini ipo siku atakuja kutoboa kupitia mawazo yake tu. Aliacha kazi TRA kuukataa utumwa wa ajira, akashiriki idea searching challenge kadhaa mpaka hapo alipokuja kufanikiwa kuwa miongoni mwa nominees i think ni Denmark then akaenda kupitch his idea i nfront of the judges na kufanikiwa kushinda, idea ilikuwa inahusu usambazaji wa umeme vijijini nchini Tanzania. akapata almost 500 mil Tsh ambazo alikuja akafanya hiyo project ila haikufanikiwa kama walivyotegemea, then second chance aliyokuja kuipata ndiyo hiyo ya kopa gas akatoboa mazima.
View attachment 2415855

2) Eng. Juma Rajabu.
Huyu ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya maxcom limited, wamiliki wa maxmalipo . yeye pia alihustle kudevelop ideas tofauti but at the end ikafanikiwa hiyo ya maxmalipo, Kampuni yake ilishakuwa moja ya kampuni zilizoongoza kwenye mobile transaction.
View attachment 2415856

na wengine kama akina Benjamin Fernandes mmiliki wa Nala money,Sameer hirji mmililiki wa selcom na mexence mello.

Mifano ya successfull technology entrepreneur worldwide.

1). Elon munsk.
wengi mnamfahamu Bilionea huyu mwenye degree ya uchumi na physics, Aliacha kusoma PHD ya physics kwa sababu ya ujasiriamali. moja ya mambo aliyoyafanya kwenye technology ni pamoja na kuanzisha system ya Zip2 1995 na kuiuza 1999 kwa dollar million 341, Pesa alizopata akaenda anzisha x.com ambayo ndani yake ikazaa paypal akaja uza 1.5 Billion usd, then alianzisha Tesla, Space x na solarcity.
kuna kipindi kabla hajawa famous sana nilisoma kitabu chake kimoja nimesahau jina jamaa alielezea kiundani kuhusu investmnt kwenye clean energy especially solar energy.
View attachment 2415862

2).Alexander Wang.
Huyu ni youngest self made Billionnaire akiwa na miaka 25 anamiliki utajiri wa zaidi ya 1 Billion Usd. anamiliki kampuni ya Scale AI inayodeal na mambo ya artificial inteligence. Alifeli MIT kabla ya kuanzisha kampuni yake.View attachment 2415900

BAADHI YA IDEAS NINAZOFANYIA KAZI.

1) Pay as you use water meters.
[/B][/B][/B][/B][/B]
hizi ni meter za maji ambazo zitakuwa kama Luku. Hapa nafikiria namna ya kudevelop water meters ambazo zitakuwa zinafanya kazi sawa na luku ambapo maji yatakatikana pale utakapolipia, na utaweka voucher pindi utakapohitaji maji, njia hii itapunguza malalamiko yatokanayo na madhaifu ya meters za sasa, pia yataongeza utumizi mzuri wa rasilimali maji.View attachment 2415916

2) pay as you use kwa gas ya kupikia.

Hii project tayari ishaanza kufanyika kuna kampuni inaitwa kopa gas aliyouza Mr. Andron Mendes na nyingine mpya inaitwa M-gas but efficiency zao sio kubwa kwa sababu mpaka sasa ina miaka zaidi ya mitatu lakini bado hazijafanikiwa kufikia watu wengi so nafikiri namna ya kudevelop through their weekness. na kuna investors wengi duniani wana hela za kutosha wao wanasubiri ideas how they can get profit through their investment.
View attachment 2415918

3)Soko Mtandao.
hapa itakuwa ni center ya biashara Zote nchini kwa maana tutapunguza madhaifu yaliyo kwenye masoko mengine kama kupatana na zoom. tutapunguza Ugumu wa upatikanaji bidhaa, uhakika wa bidhaa na mteja, kupunguza scams wa mitandaoni.
View attachment 2415920

4) Smart Bill Payment.
App itakayodeal na monitoring, controlling and Payments of Bills and other transactions kama Malipo ya serikali, Malipo ya mikopo, Lipia bidhaa, Fines and Fees, Bank services, Bima na Huduma za simu. But App hii itakuwa based kwenye controlling and monitoring ya Huduma muhimu zitolewazo na serikali kama Huduma za maji, huduma za umeme, Huduma za afya na bima. Itamwezesha mtumiaji kuweKa records za transactions alizofanya, kujua matumizi na gharama anazotumia kwenye huduma hiyo kwa siku, mwezi na mwaka. Kurahisisha malipo ya huduma na kuweza kuingiza vouchers alipo.
View attachment 2415922

Note: nipo hapa kusikiliza kutoka kwenu mawazo, Ushauri na maoni, nasubiri mniongezee maarifa na naamini hapa kuna wajuzi zaidi, ASANTENI.

0623-123369
[/B][/B][/B][/B]
tatizo mitaji ideals zipo nyingi tena sana: kama una vyanzo vya Funding PM me nna ideals za ICT na Natural Gas ambazo zinahitajika sana kwa sasa na zinaweza tengeneza ajira zaidi ya 6000 katika mwaka wa Kwanza! Bank za Tanzania sio rafiki wa Startups! Wanasubiria upate hela waje wakutongoze ukope😭Wakati wengeweza kuwa na startup departments na kusimamiA projects zikianza ingiza pesa wanakata hela yao , na hizi startup kuja kuwa kampuni kubwa hapo baadae zenye faida kwa taifa (Tanzania atutaki jifunza India na China walivyoendelea kwa kuwajali startups)
Nna pia za kilimo na ufugaji - hapa nipo napambana kudeal na Ngombe wa Maziwa wanaotoa lita kati ya 45 to50 kwa siku(24hrs) na samaki aina ya sato anaefikisha gram 500-600 kwa miezi 3. Vijana wa Tanzania kutoka katika lindi la umasikini ni ngumu sana kwa sababu Baba (serikali yao) aipo na mikakati ya kweli kuwasaidia we are learning and working in School of hard knock mode. Kenya mfano hii mikopo ya vijana ya almashauri Vijana wanasaidiwa kuivest kwenye kilimo cha parachichi, Chai n.k na kutafutiwa masoko na hela za Serikali zinarudi na faida juu! Hapa hii mikopo imegubikwa na Siasa na airudi serikalini inapotea kwa kunufaisha wachache! Wakati kuna miradi kama 45 hivi ingefanyika na hii mikopo ya vijana wanawake na walemavu- tungetengeneza ajira 18 elfu+! Tupo tunasubiria gaiwa T shirt na kujaziwa full tank bodaboda zetu 2025 kipindi cha kampeni za uchaguzi
 
Habari za wakati huu JF Members.
Dhumuni la thread hii ni kutafuta partners wa kushirikiana nao Kuunda team kudevelop ideas na kuzibadili ideas hzo kuwa ajira kwetu na kwa vijana wenzetu.

Nimekuwa nikiwasoma baadhi ya wajasiriamali waliofanikiwa katika ujasiriamali teknolojia, Namna walivyohustle kufika walipo, trials and errors, Attitude zao, passion na ethuasism walizokuwa nazo. Hawakuwa watu wa kukata tamaa, sio waoga kujaribu na kupresent wanavyofikiri, waliinvest much time kwenye fikra walizokuwa nazo na namna zitakavyobadilika, kusaidia jamii na kuwa hela. Kupitia wao nimeona kuna kitu sisi wengine pia tunaweza kufanya na attitude yangu ipo kwenye entrepreneurship kama mkombozi mkuu kimaisha .Nimeshafikiria ideas tofauti till now, nimeshajaribu kufuatilia na kushiriki startup challenges tofauti japo sijafanikiwa hata moja ila sijawahi kukata tamaa, Nishaandikia watu business proporsals zaidi ya moja japo hazikuwahi kuwa implemented kwa sababu watu nliwaendea hawakuwa watu sahihi. Naamini wapo wengi zaidi yangu mimi humu ambao wanainvest much time on thinking about tech na entrepreneurship so nahisi itakuwa jambo jema kama nitapata team ya wazalendo kadhaa ambao tunaweza kukaa chini na kuunganisha tulivyonavyo ili tuweze kufikia malengo, pia kama kuna mtu atataka kuinvest kwenye ideas zetu asisite kusupport.

Mifano ya Successful Technology entrepreneurs kutoka Tz.
1)Andron mendes
Huyu ni MTanzania mwenye miaka 37, Aliuza kampuni ya Kopa gas kwa kampuni moja ya waingereza inayoitwa Circle gas kwa Tsh Bilion 57.4 mwaka 2018. Jamaa alishawahi kupresent Ideas 17 mara ya kwanza kwenye startup challenge uturuki but those had failed ila hakukata tamaa aliendelea kuamini ipo siku atakuja kutoboa kupitia mawazo yake tu. Aliacha kazi TRA kuukataa utumwa wa ajira, akashiriki idea searching challenge kadhaa mpaka hapo alipokuja kufanikiwa kuwa miongoni mwa nominees i think ni Denmark then akaenda kupitch his idea i nfront of the judges na kufanikiwa kushinda, idea ilikuwa inahusu usambazaji wa umeme vijijini nchini Tanzania. akapata almost 500 mil Tsh ambazo alikuja akafanya hiyo project ila haikufanikiwa kama walivyotegemea, then second chance aliyokuja kuipata ndiyo hiyo ya kopa gas akatoboa mazima.
View attachment 2415855

2) Eng. Juma Rajabu.
Huyu ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya maxcom limited, wamiliki wa maxmalipo . yeye pia alihustle kudevelop ideas tofauti but at the end ikafanikiwa hiyo ya maxmalipo, Kampuni yake ilishakuwa moja ya kampuni zilizoongoza kwenye mobile transaction.
View attachment 2415856

na wengine kama akina Benjamin Fernandes mmiliki wa Nala money,Sameer hirji mmililiki wa selcom na mexence mello.

Mifano ya successfull technology entrepreneur worldwide.
1). Elon munsk.
wengi mnamfahamu Bilionea huyu mwenye degree ya uchumi na physics, Aliacha kusoma PHD ya physics kwa sababu ya ujasiriamali. moja ya mambo aliyoyafanya kwenye technology ni pamoja na kuanzisha system ya Zip2 1995 na kuiuza 1999 kwa dollar million 341, Pesa alizopata akaenda anzisha x.com ambayo ndani yake ikazaa paypal akaja uza 1.5 Billion usd, then alianzisha Tesla, Space x na solarcity.
kuna kipindi kabla hajawa famous sana nilisoma kitabu chake kimoja nimesahau jina jamaa alielezea kiundani kuhusu investmnt kwenye clean energy especially solar energy.
View attachment 2415862

2).Alexander Wang.
Huyu ni youngest self made Billionnaire akiwa na miaka 25 anamiliki utajiri wa zaidi ya 1 Billion Usd. anamiliki kampuni ya Scale AI inayodeal na mambo ya artificial inteligence. Alifeli MIT kabla ya kuanzisha kampuni yake.View attachment 2415900

BAADHI YA IDEAS NINAZOFANYIA KAZI.
1) Pay as you use water meters.

hizi ni meter za maji ambazo zitakuwa kama Luku. Hapa nafikiria namna ya kudevelop water meters ambazo zitakuwa zinafanya kazi sawa na luku ambapo maji yatakatikana pale utakapolipia, na utaweka voucher pindi utakapohitaji maji, njia hii itapunguza malalamiko yatokanayo na madhaifu ya meters za sasa, pia yataongeza utumizi mzuri wa rasilimali maji.View attachment 2415916

2) pay as you use kwa gas ya kupikia.
Hii project tayari ishaanza kufanyika kuna kampuni inaitwa kopa gas aliyouza Mr. Andron Mendes but efficiency yake sio kubwa kwa sababu mpaka sasa ina miaka zaidi ya mitatu lakini bado haijafanikiwa kufikia watu wengi so nafikiri namna ya kudevelop through their weekness. na kuna investors wengi duniani wana hela za kutosha wao wanasubiri ideas how they can get profit.
View attachment 2415918

3)Soko Mtandao.
hapa itakuwa ni center ya biashara Zote nchini kwa maana tutapunguza madhaifu yaliyo kwenye masoko mengine kama kupatana na zoom. tutapunguza Ugumu wa upatikanaji bidhaa, uhakika wa bidhaa na mteja, kupunguza scams wa mitandaoni.
View attachment 2415920

4) Smart Bill Payment.
App itakayodeal na monitoring, controlling and Payments of Bills and other transactions kama Malipo ya serikali, Malipo ya mikopo, Lipia bidhaa, Fines and Fees, Bank services, Bima na Huduma za simu. But App hii itakuwa based kwenye controlling and monitoring ya Huduma muhimu zitolewazo na serikali kama Huduma za maji, huduma za umeme, Huduma za afya na bima. Itamwezesha mtumiaji kuweKa records za transactions alizofanya, kujua matumizi na gharama anazotumia kwenye huduma hiyo kwa siku, mwezi na mwaka. Kurahisisha malipo ya huduma na kuweza kuingiza vouchers alipo.
View attachment 2415922

Note: nipo hapa kusikiliza kutoka kwenu mawazo, Ushauri na maoni, nasubiri mniongezee maarifa na naamini hapa kuna wajuzi zaidi, ASANTENI.

0623-123369
Benjamin wa NALA Pay Baba ake ana pesa! Kina Elon pia, China ambako kuna mabilionea zaidi ya million 6 Serikali yao ina suport watu wake kuwa mabilionea. Africa familia za wanasiasa ndo wanawezeshana kuwa mabiliionea kwa pesa za umma
 
Hizi pre paid Meters za Umeme, Gas na Maji asili yake na technologia yake ni from South Africa. Wao walianza na mita za Umeme lakini badae wakaja wengine wakaongeza gas na water meters.
Kuzalisha hizi mita sio kazi ngumu kwani kila kinachotakiwa kuzitengeneza kipo ! Tatizo ni funds
 
Nice and innovative idea. Ila mimi binafsi natamani nichangie kidogo mkuu. Mafanikio mazuri ni kuweza kugusa asilimia kubwa ya watu. Nchi yako watu wengi wako kwenye hali ya chini. Wenye uwezo ni wachache sana.

Sasa kwa kila unachobuni...jaribu kufikiria jinsi gani itamfaidisha na yule mtu wa chini ili utupate wote. Hizi tech ni nzuri kweli. Lakin je zitatugusa sisi wenye hali zetu huku?? Maana naona zingne hapa zinahitaji mtu uwe na bundle za kutosha, sijui simu yenye internet and all the like. Sijajua mawazo yako but maybe try looking in that way too. Be blessed
Thank you Mademoiselle umeongelea jambo kubwa sana, Ideas nilizoandika hapa ni baadhi tu ya nlizonazo na zipo ambazo zinagusa moja kwa moja kwa watu wa hali ya chini. kwa mfano nilishawahi kuwa na wazo la how to develop small scale manufacturing sectors ambazo specifically zitakuwa mostly developed in rural areas, ambako raw materials zinatokea, yaani kutengeneza viwanda vidogo vidogo kwa level ya households na pengine kijiji tu, with the use of small technological machines and limited manpowers itawezesha jamii kubwa ya watu wa kijijini kuajiriwa katika sector hii, na kuongeza thamani ya bidhaa zao maana itawawezesha kutransform raw materials kwenda kwenye medium and final goods, na kuuza kwa bei kubwa zaidi.
Case study ni india small scale manufacturing sector inaproduce diversity of goods kwenye hyo sector kama napkins, Tissues, chocolates, papers na small toys.
hii sector inacontribute around 40% of total export ya india.
 
T

tatizo mitaji ideals zipo nyingi tena sana: kama una vyanzo vya Funding PM me nna ideals za ICT na Natural Gas ambazo zinahitajika sana kwa sasa na zinaweza tengeneza ajira zaidi ya 6000 katika mwaka wa Kwanza! Bank za Tanzania sio rafiki wa Startups! Wanasubiria upate hela waje wakutongoze ukope[emoji24]Wakati wengeweza kuwa na startup departments na kusimamiA projects zikianza ingiza pesa wanakata hela yao , na hizi startup kuja kuwa kampuni kubwa hapo baadae zenye faida kwa taifa (Tanzania atutaki jifunza India na China walivyoendelea kwa kuwajali startups)
Nna pia za kilimo na ufugaji - hapa nipo napambana kudeal na Ngombe wa Maziwa wanaotoa lita kati ya 45 to50 kwa siku(24hrs) na samaki aina ya sato anaefikisha gram 500-600 kwa miezi 3. Vijana wa Tanzania kutoka katika lindi la umasikini ni ngumu sana kwa sababu Baba (serikali yao) aipo na mikakati ya kweli kuwasaidia we are learning and working in School of hard knock mode. Kenya mfano hii mikopo ya vijana ya almashauri Vijana wanasaidiwa kuivest kwenye kilimo cha parachichi, Chai n.k na kutafutiwa masoko na hela za Serikali zinarudi na faida juu! Hapa hii mikopo imegubikwa na Siasa na airudi serikalini inapotea kwa kunufaisha wachache! Wakati kuna miradi kama 45 hivi ingefanyika na hii mikopo ya vijana wanawake na walemavu- tungetengeneza ajira 18 elfu+! Tupo tunasubiria gaiwa T shirt na kujaziwa full tank bodaboda zetu 2025 kipindi cha kampeni za uchaguzi
Thanx, Mkuu nimependa namna ulivyoshare experience hapa maana kuna vitu vingi nmejifunza kwako. Mitaji ndo kikwazo kikuu mkuu ila ulishawahi kushiriki innovation challenges za kimataifa? ulishapata chance ya kuongea na watu wenye uwezo wa kuinvest venture capitals?
 
T

Nna pia za kilimo na ufugaji - hapa nipo napambana kudeal na Ngombe wa Maziwa wanaotoa lita kati ya 45 to50 kwa siku(24hrs) na samaki aina ya sato anaefikisha gram 500-600 kwa miezi 3.

Hongera mkuu, jambo unalofanya ni kubwa sana. ila tusiache kupambania ideas zetu Andron nilimsikiliza ansema ulaya huko watu wana hela nyingi wenyewe wanatafuta ideas worldwide wainvest hela.
 
Hii idea ya Pay as you use water meters kuna wanafunzi wa Nelson Mandela (program ya embedded mobile system) wameshaifanyia Kazi
 
kweli mkuu nimeona hapa mdau mwengine alisema, ila sijajua walifikia wapi?
 
Mimi nilishawahi kuapply before but naona nguvu kubwa sana natumia kwakua mara nyingi nafanya mwenyewe.
 
kweli mkuu nimeona hapa mdau mwengine alisema, ila sijajua walifikia wapi?
changamoto ya izo smart water meter ni battery mzee

za kichina zipo kibao, zilipatwa fungwa dawasa ya Tanga,
hazikuzidi miezi 4, battery zikaisha, ikawa kazi ya kuzibadili battery, kwa wateja karibia 400
 
Back
Top Bottom