Thank you
Mademoiselle umeongelea jambo kubwa sana, Ideas nilizoandika hapa ni baadhi tu ya nlizonazo na zipo ambazo zinagusa moja kwa moja kwa watu wa hali ya chini. kwa mfano nilishawahi kuwa na wazo la how to develop small scale manufacturing sectors ambazo specifically zitakuwa mostly developed in rural areas, ambako raw materials zinatokea, yaani kutengeneza viwanda vidogo vidogo kwa level ya households na pengine kijiji tu, with the use of small technological machines and limited manpowers itawezesha jamii kubwa ya watu wa kijijini kuajiriwa katika sector hii, na kuongeza thamani ya bidhaa zao maana itawawezesha kutransform raw materials kwenda kwenye medium and final goods, na kuuza kwa bei kubwa zaidi.
Case study ni india small scale manufacturing sector inaproduce diversity of goods kwenye hyo sector kama napkins, Tissues, chocolates, papers na small toys.
hii sector inacontribute around 40% of total export ya india.