Nahitaji support kwenye Tech entrepreneurship

Ahsante kwa historia! Ukiwa na wazo lako, hao unaosema hawakuwa wabia sahihi ni ulitegemea watakupa mtaji au nini? Sina uhakika, ila sijui kama umewajaribu hawa mabilionea wa Tz, kama wangependa kuwekeza kwenye nyanja zako?
Ahsante pia, Kwa wote nilitegemea mtaji na story zao zinafanana. Mmoja wapo ni jamaa yangu ambaye namfahamu yeye alinihakikishia ana watu ambao wanaweza kusponser mawazo yangu ya biashara, so nikaandaa proporsals za biashara tatu za mtaji mdogo na kati ambazo nilitumia muda mrefu kufanya research zake, baada ya kumpelekea alinipongeza sana kwa kazi nzuri, then alinambia nimwache atanijulisha ila alipotea moja kwa moja na proporsals zangu, Baada ya hapo sijajaribu zaidi kwengine.
 
Sina uhakika, ila sijui kama umewajaribu hawa mabilionea wa Tz, kama wangependa kuwekeza kwenye nyanja zako?

Bado ila Kufikia kwa hao Billionnaires ni moja ya target yangu but nafikiri kwanza nipate right team tutengeneze co-foundation za projects zetu, tutengeneze kampuni imara tuwe na patent right, naamini kupitia team tutatengeneza competitive ideas.
 
T
tatizo mitaji ideals zipo nyingi tena sana: kama una vyanzo vya Funding PM me nna ideals za ICT na Natural Gas ambazo zinahitajika sana kwa sasa na zinaweza tengeneza ajira zaidi ya 6000 katika mwaka wa Kwanza! Bank za Tanzania sio rafiki wa Startups! Wanasubiria upate hela waje wakutongoze ukope😭Wakati wengeweza kuwa na startup departments na kusimamiA projects zikianza ingiza pesa wanakata hela yao , na hizi startup kuja kuwa kampuni kubwa hapo baadae zenye faida kwa taifa (Tanzania atutaki jifunza India na China walivyoendelea kwa kuwajali startups)
Nna pia za kilimo na ufugaji - hapa nipo napambana kudeal na Ngombe wa Maziwa wanaotoa lita kati ya 45 to50 kwa siku(24hrs) na samaki aina ya sato anaefikisha gram 500-600 kwa miezi 3. Vijana wa Tanzania kutoka katika lindi la umasikini ni ngumu sana kwa sababu Baba (serikali yao) aipo na mikakati ya kweli kuwasaidia we are learning and working in School of hard knock mode. Kenya mfano hii mikopo ya vijana ya almashauri Vijana wanasaidiwa kuivest kwenye kilimo cha parachichi, Chai n.k na kutafutiwa masoko na hela za Serikali zinarudi na faida juu! Hapa hii mikopo imegubikwa na Siasa na airudi serikalini inapotea kwa kunufaisha wachache! Wakati kuna miradi kama 45 hivi ingefanyika na hii mikopo ya vijana wanawake na walemavu- tungetengeneza ajira 18 elfu+! Tupo tunasubiria gaiwa T shirt na kujaziwa full tank bodaboda zetu 2025 kipindi cha kampeni za uchaguzi
 
Benjamin wa NALA Pay Baba ake ana pesa! Kina Elon pia, China ambako kuna mabilionea zaidi ya million 6 Serikali yao ina suport watu wake kuwa mabilionea. Africa familia za wanasiasa ndo wanawezeshana kuwa mabiliionea kwa pesa za umma
 
Hizi pre paid Meters za Umeme, Gas na Maji asili yake na technologia yake ni from South Africa. Wao walianza na mita za Umeme lakini badae wakaja wengine wakaongeza gas na water meters.
Kuzalisha hizi mita sio kazi ngumu kwani kila kinachotakiwa kuzitengeneza kipo ! Tatizo ni funds
 
Thank you Mademoiselle umeongelea jambo kubwa sana, Ideas nilizoandika hapa ni baadhi tu ya nlizonazo na zipo ambazo zinagusa moja kwa moja kwa watu wa hali ya chini. kwa mfano nilishawahi kuwa na wazo la how to develop small scale manufacturing sectors ambazo specifically zitakuwa mostly developed in rural areas, ambako raw materials zinatokea, yaani kutengeneza viwanda vidogo vidogo kwa level ya households na pengine kijiji tu, with the use of small technological machines and limited manpowers itawezesha jamii kubwa ya watu wa kijijini kuajiriwa katika sector hii, na kuongeza thamani ya bidhaa zao maana itawawezesha kutransform raw materials kwenda kwenye medium and final goods, na kuuza kwa bei kubwa zaidi.
Case study ni india small scale manufacturing sector inaproduce diversity of goods kwenye hyo sector kama napkins, Tissues, chocolates, papers na small toys.
hii sector inacontribute around 40% of total export ya india.
 
Thanx, Mkuu nimependa namna ulivyoshare experience hapa maana kuna vitu vingi nmejifunza kwako. Mitaji ndo kikwazo kikuu mkuu ila ulishawahi kushiriki innovation challenges za kimataifa? ulishapata chance ya kuongea na watu wenye uwezo wa kuinvest venture capitals?
 
T


Nna pia za kilimo na ufugaji - hapa nipo napambana kudeal na Ngombe wa Maziwa wanaotoa lita kati ya 45 to50 kwa siku(24hrs) na samaki aina ya sato anaefikisha gram 500-600 kwa miezi 3.

Hongera mkuu, jambo unalofanya ni kubwa sana. ila tusiache kupambania ideas zetu Andron nilimsikiliza ansema ulaya huko watu wana hela nyingi wenyewe wanatafuta ideas worldwide wainvest hela.
 
 
Hii idea ya Pay as you use water meters kuna wanafunzi wa Nelson Mandela (program ya embedded mobile system) wameshaifanyia Kazi
 
Hii idea ya Pay as you use water meters kuna wanafunzi wa Nelson Mandela (program ya embedded mobile system) wameshaifanyia Kazi
kweli mkuu nimeona hapa mdau mwengine alisema, ila sijajua walifikia wapi?
 
Mimi nilishawahi kuapply before but naona nguvu kubwa sana natumia kwakua mara nyingi nafanya mwenyewe.
 
kweli mkuu nimeona hapa mdau mwengine alisema, ila sijajua walifikia wapi?
changamoto ya izo smart water meter ni battery mzee

za kichina zipo kibao, zilipatwa fungwa dawasa ya Tanga,
hazikuzidi miezi 4, battery zikaisha, ikawa kazi ya kuzibadili battery, kwa wateja karibia 400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…