Nahitaji tiba ya asili ya Malaria sugu

Nahitaji tiba ya asili ya Malaria sugu

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Ni tiba gani au dawa gani ya asili yenye kutibu malaria sugu?

MZIZI MKAVU
 
Kama una ndg border ya uganda muagize kuna mama mmoja wa kihaya anauza dawa ya maleria Sugu ni nzuri sana mimi nilisumbuka sana na maleria nikajulishwa huyo mama nilikuwa natoka Kampara nikampitia nikanunua namshukuru Mungu nina mwaka wa 2 yoka nitumie na kupima sijaumwa tena maleria wahaya wana dawa nzuri sana za kienyeji
 
Mbona maelekezo hayajitoshelezi huyo mama anaitwa nani anapatikanaje kwa gharama gani
 
Ni miaka 5 sasa sijawahi kuugua malaria, japo huko nyuma nilikuwa mhanga wake. Nilitumia dawa aina nyingi, asili na za kisasa lakini wapi. Dawa ni tumiayo ni maji kwa wingi. Naanza saa 11 asubuhi kwa kunywa lita 1 maji ya fukuto yaliochanganywa na vijiko 3 asali mbichi( 30mls). Naendelea na ratiba yangu ya maji (bila asali) kuanzia saa 2 asb- saa 2 usiku na kunywa walau lita 3. Matokeo ndo kama utangulizi hapo awali.
 
Back
Top Bottom