Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una ndg border ya uganda muagize kuna mama mmoja wa kihaya anauza dawa ya maleria Sugu ni nzuri sana mimi nilisumbuka sana na maleria nikajulishwa huyo mama nilikuwa natoka Kampara nikampitia nikanunua namshukuru Mungu nina mwaka wa 2 yoka nitumie na kupima sijaumwa tena maleria wahaya wana dawa nzuri sana za kienyeji