Nahitaji tiba

Nahitaji tiba

acha ujinga huo,,utaja juta mbeleni.its bad yn very bad.punyeto k2gn wakati kaz(sketi)za kumwaga.acha kucheki izo picha then tafuta dem
 
Fuatilia vipindi vya TB Joshua, emmanuel TV
 
Jamani niko serious na
pliz Naomba msitukane mnishauri kwa lugha nzuri, jamani nina tatizo
moja la kuwa napiga masterbation na nimeshashindwa kuacha pia nimejikuta
napenda sana kuangalia porn movies ni kipi nikifanye ili niondokane na
tatizo hili

Kwi kwi kwi kwi,MKUU,POLE SANA,kuna uzi kwenye jukwaa hili hili una A TO Z ya madhara ya hyo mikorokocho yako,upitie taratibu utajifunza mjombe,angalia usije kuvipa mimba vidole,ooh
 
Fanya mazoezi mwili utachoka utakosa hio hamu ya kupiga hio maneno
 
Mzizi mkavu naomba unisaidie wew huyu analeta utani
Mkuu The Kingston
50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO

50-Cent.jpg

Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond anavyokaita!

Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. It's a dirty secret!

Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.
Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.

50-1.jpg

50-2.jpg

chanzo.
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/333877-50-cent-ataja-mbinu-tano-za-kukufanya-uache-kupiga-punyeto.html#post5783040
 
Mkuu The Kingston
50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO

50-Cent.jpg

Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond anavyokaita!

Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. It’s a dirty secret!

Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.
Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.

50-1.jpg

50-2.jpg

chanzo.
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/333877-50-cent-ataja-mbinu-tano-za-kukufanya-uache-kupiga-punyeto.html#post5783040

mbona sioni hata link yenyew haifunguki mkuu
 
Back
Top Bottom