The Kingston
Member
- Feb 23, 2013
- 33
- 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.@georgeallen Mbona unampa Ushauri mbaya ?Negative Advisor?Hebu tueleze haina madhara kupiga punyeto?Endelea kupiga tu haina madhara
Jamani niko serious na
pliz Naomba msitukane mnishauri kwa lugha nzuri, jamani nina tatizo
moja la kuwa napiga masterbation na nimeshashindwa kuacha pia nimejikuta
napenda sana kuangalia porn movies ni kipi nikifanye ili niondokane na
tatizo hili
Mkuu.@georgeallen Mbona unampa Ushauri mbaya ?Negative Advisor?Hebu tueleze haina madhara kupiga punyeto?
Fanya mazoezi mwili utachoka utakosa hio hamu ya kupiga hio maneno
Mkuu The KingstonMzizi mkavu naomba unisaidie wew huyu analeta utani
Mkuu The Kingston
50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO
![]()
Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond anavyokaita!
Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. Its a dirty secret!
Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.
Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.
![]()
![]()
chanzo. https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/333877-50-cent-ataja-mbinu-tano-za-kukufanya-uache-kupiga-punyeto.html#post5783040