Nahitaji Ufahamu kuhusu sheria ya privacy na Data protection kwa Tanzania

Nahitaji Ufahamu kuhusu sheria ya privacy na Data protection kwa Tanzania

Zatara

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
716
Reaction score
511
Ndugu wana JF, nilikuwa nahitaji kujua je sheria ya Tanzania inaongelea lolote kuhusu maswala ya privacy na data protection. Naomba msaada kutoka kwa kila mwenye ufahamu

Ahsanteni
 
Vipi kwani?yule mwenye namba inayoishia na 08 kashakuendea hewani nini?ngoja nifanye uchunguzi na mie ila jambo moja ni hakika,tatizo la nchi yetu si saana uwepo wa sheria,bali utekelezaji wake!
 
Itakusaidia nini? As long as serekali ni ya Kifisadi na wajanja wapo mtandaoni utalia daima.

Marekani yenyewe unaisikia huko ikilia na kina Assange na Snow.
 
KIBANGA Ampiga Mkoloni juve2012
Nashukuru kwa kile mlichochangia regarless blahblah

Nimeomba msaada katika jukwaa la siasa ila ombi hili halihusiani na mambo ya siasa. Hivyo nitashukuru zaidi kwa wenye taarifa wanisaidie.

Natanguliza shukran
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu sidhani kama ipo kisheria, mara nyingi - hapa nasema kwa wale walio na access na data za watu - i.e voda, airtel tigo, zantel, ISP,bank, hospitals wana policy zao na mara nyingi ndo zina control ya vipi data za wateja wao zitakuwa treated. Mfano mzuri wa hii kitu wapo wanaofanya kazi kwenye multi-national company na mailbox zao zipo kwenye server zao kule nje, kitu ambacho kiukweli sio standard. Wakiamua kuzima server zao nothing can be traced.
 
Silly, Ahsante sana hii imenipa pa kuanzia kwa kazi yangu. Nitajaribu ku-Google pia ili kama naweza kupata kitu chochote online. Pia kama kama una document yoyote kuhusu hii makitu unaweza kushare nami mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Silly, Ahsante sana hii imenipa pa kuanzia kwa kazi yangu. Nitajaribu ku-Google pia ili kama naweza kupata kitu chochote online. Pia kama kama una document yoyote kuhusu hii makitu unaweza kushare nami mkuu?
Mkuu unaweza kuipata hapa - ipo kwenye presentation form
 
How much private? Toa mfano ili iwe rahisi. Sheria haziwagi vague hivi!
 
How much private? Toa mfano ili iwe rahisi. Sheria haziwagi vague hivi!

Nilikuwa nazungumzia swala la Information privacy and data protection kama kuna Legislation au ACT yoyote. Hata hivyo nilichoweza kupata mpaka sasa ni kwamba nchi haina hiyo kitu. Isipokuwa katiba ya mwaka 1977 iligusia maswala yafuatayo

Article 16(1) "…Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications…'

Na article 16(2) ilizungumzia "…the state authority shall lay down legal procedures regarding the circumstances, manner and extent to which the right to privacy, security of his person, his property and residence …"

Nilichokiona ni kwamba tuna hiyo opportunity katiba imezungumzia ingawa kama katiba inavyokuwa ilikuwa broad sana. Hivyo kuna umuhimu wa kuanza mchakato wa kuwa na Legislation au ACT kwa ajili ya Data Protection na Swala zima la Information privacy.

Naona nianze hapo mkuu @Stefano Mtangoo, pengine tunaweza kusikia mengi kutoka kwako, kwani ulitaka niwe specific kidogo
 
Back
Top Bottom