Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silly, Ahsante sana hii imenipa pa kuanzia kwa kazi yangu. Nitajaribu ku-Google pia ili kama naweza kupata kitu chochote online. Pia kama kama una document yoyote kuhusu hii makitu unaweza kushare nami mkuu?Hii kitu sidhani kama ipo kisheria, mara nyingi - hapa nasema kwa wale walio na access na data za watu - i.e voda, airtel tigo, zantel, ISP,bank, hospitals wana policy zao na mara nyingi ndo zina control ya vipi data za wateja wao zitakuwa treated. Mfano mzuri wa hii kitu wapo wanaofanya kazi kwenye multi-national company na mailbox zao zipo kwenye server zao kule nje, kitu ambacho kiukweli sio standard. Wakiamua kuzima server zao nothing can be traced.
How much private? Toa mfano ili iwe rahisi. Sheria haziwagi vague hivi!