Nahitaji ufumbuzi wa tatizo la stress

Nahitaji ufumbuzi wa tatizo la stress

Uliumwa kwa muda mrefu right? Hapa nadhani stress zako zinatokana na ugonjwa uliopitia. Je familia ilikutenga wakati ukiugua? Marafiki shuleni waliwazia vibaya kuhusu ugonjwa wako hadi ukahisi aibu sana kuugua ugonjwa huo? Mimi nakuelewa unavyosema inatokea tu unakuwa na mambo mengi unayawaza kichwani na hiyo hali inakunyima uhuru/furaha. Ni kama vile unashindwa udhibiti lipi na uache lipi katika hayo mambo mengi unayowaza. Nakushauri ukijisikia hali kama hii jitahidi uyaruhusu hayo mawazo mengi yatiririke kadiri yatakavyo? Je utaweza kufanya hivyo? Pia kataa hali yoyote inayokujia kama vile kuchanganyikiwa coz watu wengi wenye hali kama yako hudhania wanaenda kuchanganyikiwa. Na hapa hali huwa mbaya zaidi. Hali yako ikizidi kuwa mbaya usione hatari kuvisit hospital. Mkuu usiogope hiyo hali itaisha vijana wengi inawatokea.....wengine hawaelewi hata ni nini. Yes I.
 
Nilipokuwa naumwa nilibadilika sana hali ilionifanya nwe najitenga sana na watu ili nsipate adha ya kuzungumziwa vibaya coz kila mtu alikuwa anasema lake.. bt ndo nimejua labda nilikuwa nakosea kufanya ivo ila bado sikuwa na jinsi mana ningezidi kuwa mnyonge.
 
Uliumwa kwa muda mrefu right? Hapa nadhani stress zako zinatokana na ugonjwa uliopitia. Je familia ilikutenga wakati ukiugua? Marafiki shuleni waliwazia vibaya kuhusu ugonjwa wako hadi ukahisi aibu sana kuugua ugonjwa huo? Mimi nakuelewa unavyosema inatokea tu unakuwa na mambo mengi unayawaza kichwani na hiyo hali inakunyima uhuru/furaha. Ni kama vile unashindwa udhibiti lipi na uache lipi katika hayo mambo mengi unayowaza. Nakushauri ukijisikia hali kama hii jitahidi uyaruhusu hayo mawazo mengi yatiririke kadiri yatakavyo? Je utaweza kufanya hivyo? Pia kataa hali yoyote inayokujia kama vile kuchanganyikiwa coz watu wengi wenye hali kama yako hudhania wanaenda kuchanganyikiwa. Na hapa hali huwa mbaya zaidi. Hali yako ikizidi kuwa mbaya usione hatari kuvisit hospital. Mkuu usiogope hiyo hali itaisha vijana wengi inawatokea.....wengine hawaelewi hata ni nini. Yes I.
You are collect, yan ni kama unapita mule mule.. bt sikutengwa na familia ila pia jitihada zao zilikuw ndogo kulinganisha na matatizo yenyewe
 
Timiza wajibu wako. Kutotimiza wajibu ndiyo chanzo kikuu cha stress, ukifanya unachotakiwa kufanya kwa muda sahihi stress zitaisha
 
acha kuwaza wenzako waliokuzidi vidato, usihofie kuhusu umri wako, wala afya yako.
kama ni mpenzi wa muziki basi jipe.muda fulani kwa ajili ya kusikiliza.
jichanganye na marafiki wa rika na jinsia tofautitofauti.... utaona mabadiliko.
 
Habarini wanaforum,

Jaman mimi tatizo langu ni kwamba ninajikuta nina stress nyingi hadi nashindwa kujicontrol. Hali hii ilinianza baada ya kuumwa kwa muda mrefu hadi nikasitisha masomo yangu ya sekondari kwa zaidi ya mwaka. Now nimeshapona kiasi na nimerudi shule ila ndio nimekumbana na tatizo hili.

Imekuwa ni zaidi ya shida kwangu maana hadi nmejikuta huwa nazungumza peke yangu. Sasa ni mwaka najitahidi sana kupambana na hali hii but mwisho la siku nimejikuta jitihada zangu zimefika mwisho.

Imekuwa ni zaidi ya mtihani kwangu. Naombeni msaada wenu unahisi utanisaidia. Nifanye nini ama niende wapi kwa ajili ya kupata ufumbuz wa swala hili. Halafu now naona kama hata peformance yangu ya class inaanza kushuka na najikuta naanza kupoteza kumbukumbu kwa urahisi sana.

Nahitaji msaada seriously & samahanin usilete discussion za masihara.
Hujaeleweka kama chanzo cha stress ni kuumwa au laaah. Kama umeumwa muda mrefu na ugonjqa au magonjwa yaliyokuwa yanakusumbua yanatibika jitahidi umalizie dozi au upone kabisa ili uanze maisha mapya. Kama hayaponi kubali matokeo na izoee hali halisi.
 
Habarini wanaforum,

Jaman mimi tatizo langu ni kwamba ninajikuta nina stress nyingi hadi nashindwa kujicontrol. Hali hii ilinianza baada ya kuumwa kwa muda mrefu hadi nikasitisha masomo yangu ya sekondari kwa zaidi ya mwaka. Now nimeshapona kiasi na nimerudi shule ila ndio nimekumbana na tatizo hili.

Imekuwa ni zaidi ya shida kwangu maana hadi nmejikuta huwa nazungumza peke yangu. Sasa ni mwaka najitahidi sana kupambana na hali hii but mwisho la siku nimejikuta jitihada zangu zimefika mwisho.

Imekuwa ni zaidi ya mtihani kwangu. Naombeni msaada wenu unahisi utanisaidia. Nifanye nini ama niende wapi kwa ajili ya kupata ufumbuz wa swala hili. Halafu now naona kama hata peformance yangu ya class inaanza kushuka na najikuta naanza kupoteza kumbukumbu kwa urahisi sana.

Nahitaji msaada seriously & samahanin usilete discussion za masihara.

Hayo unayoelezea hayafanani na "stress".
 
Ukizingatia haya Utaishinda hio hali:
1. Jitahidi Usiji-isolate,jichanganye na marafiki na watu wanaokuzunguka kubadilishana mawazo na soga za hapa na pale.
2. Jitahidi kua bize na vishughuli vya hapa na pale,zisiwe shughuli za kuchosha mwili.
3. Kama ni Mwanafunzi,jitahidi usomaji wako uwe ni wa group discussion,au kama sio group discussion muda wa kusoma usiwe peke yako.
4. Tenga muda wa mazoezi,mazoezi yafanyike ukiwa na rafiki yako au rafiki zako,usiwe peke yako
5. Usiruhusu akili yako ifanye tathmini ya mambo yaliyopita,tumia muda mwingi ku-relax,sikiliza muziki,mpira,angalia muvi na mambo mengine ya namna hiyo.
6. Epuka malumbano,ugomvi na vitu vitakavyoipa akili yako mawazo yasiyo ya msingi,hii itakuepusha kuifanya akili itulie.
7.Tenga muda mzuri wa kulala,iwe mchana japo hata kwa SAA moja na usiku kwa masaa mengi kidogo 7/8
8. Jitahidi kusali na kumuomba M/mungu akusaidie uishinde hiyo hali;ibada muhimu
#USHUHUDA
 
Pole sana
Unapatikana sehemu gani hapa nchini?
Ninachoweza kukushauri nenda hospitali omba kuonana na psychologist, hasa kwenye miji mikubwa kama mwanza, dar. Kwa sehemu zingine sina uhakika
Morogoro
 
Back
Top Bottom