Nahitaji urafiki tu, mapenzi itategemea

Nahitaji urafiki tu, mapenzi itategemea

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,068
Wakuu wa JF,

Hope mko salama, naamini mpo poooooaaaa. Sasa nina dili kali, baada ya kutafiti mada nyingi katika jukwaa hili la MMU kwa muda mrefu, nimejiridhisha kuwa kuna changamoto za mahusiano either me kwa ke, me kwa me au ke kwa ke. Kubwa kuliko ni mahusiano ya me kwa ke, niko katika hatua za mwisho kwenye kumaliza kutengeneza kipindi ambacho kitakuwa hewani mubashara kikihusu mahusiano hasa jamii ya wavulana/wanaume na jamii ya wasichana/wanawake.

Hivyo kwa ambaye anahisi yeye ni gwiji kwenye angle hizi anicheki pm au hata hapa kwenye Uzi huu, tuone namna ambavyo tunaweza tukashiriki au kukifanya kipindi hiko kikawa bora zaidi kabla ya kuachiwa.

Note that nilisha revealed my identity before.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri, natamani sana kuchangia mada hi kwa umakini mkubwa, mosi, kuondoa dhihaka na kuijenga familia murua. Sasa hebu nielekeze kwanza unaposema ni pm , nielekeze namna ya kufika kwanza hapo pm ndipo sasa tuanze salsafa hi mubashara.
 
Back
Top Bottom