Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

Dodoma leo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
1,336
Reaction score
1,658
Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
 
Kuna kampuni au jamaa wanahusika na hizi ishu na uzi wao upo humu ila nimeusahau, wakiona uzi wako huu watakujia kama bado wanajishughulisha na kazi hiYO.
 
Okey ahsante
Kuna kampuni au jamaa wanahusikia na hizi ishu , na uzi wao upo humu ila nimeusahau, wakiona uzi wako huu watakujia kama bado wanajishughulisha na kazi hio
Ahsante. Ukiupta naomba ni tag


 
Kama upo Magu wacheki Bonge Transport Wanafanya usafirishaji wa Mizigo Dar Mwanza mpaka Tarime, Namba ya ofisi Yao 0767 887 149.

Mussa Transport wanaishia Mwanza unaweza ukawacheki, wanaweza wakawa na gari iliyoleta mizigo Magu 0769 421 005.

Hizo ni namba za ofisi za hizo kampuni sio madalali, pia Unaweza kutegea gari zinazorudi Dar Tupu. Unaweza kusogea Mwanza mjini kuna kampuni nyingi wanarudi tupu hasa wanaoleta mizigo ya makampuni wakina Convoy, Mwanza Huduma n.k.
 
Ni gharama nafuu na salama
Mizigo huwa inachelewa .ni bora vitu ambavyo unavihitaji sana ukiatangulia navyo vingine vikaja taratibu.
Me
Kama upo Magu wacheki Bonge Transport Wanafanya usafirishaji wa Mizigo Dar Mwanza mpaka Tarime, Namba ya ofisi Yao 0767 887 149.

Mussa Transport wanaishia Mwanza unaweza ukawacheki, wanaweza wakawa na gari iliyoleta mizigo Magu 0769 421 005.

Hizo ni namba za ofisi za hizo kampuni sio madqlali, pia Unaweza kutegea gari zinazorudi Dar Tupu. Unaweza kusogea Mwanza mjini Kuna kampuni nyingi wanarudi tupu hasa wanaoleta mizigo ya makampuni wakina Convoy, Mwanza Huduma n.k
Thanks
 
Mbona unateseka.. subiri magari ya nayotoka Musoma yanaenda DSM.. Unapakia mzigo wako safari.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona unateseka..subiri magari ya nayotoka musoma yanaedna dsm..unapakia mzigo wako safari.

#MaendeleoHayanaChama
Utajuaje yatapita. Dats why nataka connection nijue Muda na Namna ya kuwapata
 
Back
Top Bottom