Asante, IT ni wapiMkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata
Dar, TabataMkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata
Waugwana huyu mwamba mpaka kusema hivi kweli atakuwa na shida ya usafiri, humu ndani tuna madereva wengi wa hiyo njia tafadhari msaidieni.Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo