J Janik3232 Member Joined May 13, 2023 Posts 7 Reaction score 1 May 12, 2025 #1 Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo
Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo
Vamigo JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 457 Reaction score 1,002 May 12, 2025 #2 Mkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata
Mkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata
J Janik3232 Member Joined May 13, 2023 Posts 7 Reaction score 1 May 12, 2025 Thread starter #3 Vamigo said: Mkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata Click to expand... Asante, IT ni wapi
Vamigo said: Mkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata Click to expand... Asante, IT ni wapi
J Janik3232 Member Joined May 13, 2023 Posts 7 Reaction score 1 May 12, 2025 Thread starter #4 Vamigo said: Mkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata Click to expand... Dar, Tabata
Vamigo said: Mkuu unatokea wapi Kama ni dar, nenda pale IT ukaulizie madereva wa malori au nenda fb Wana magroup yao huko ni rahisi kuwapata Click to expand... Dar, Tabata
O Omnibu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 404 Reaction score 399 May 13, 2025 #5 Janik3232 said: Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo Click to expand... Waugwana huyu mwamba mpaka kusema hivi kweli atakuwa na shida ya usafiri, humu ndani tuna madereva wengi wa hiyo njia tafadhari msaidieni.
Janik3232 said: Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo Click to expand... Waugwana huyu mwamba mpaka kusema hivi kweli atakuwa na shida ya usafiri, humu ndani tuna madereva wengi wa hiyo njia tafadhari msaidieni.