Nahitaji usafiri wa lori Mbeya kwenda Moshi - Nahamisha wiki hii

Nahitaji usafiri wa lori Mbeya kwenda Moshi - Nahamisha wiki hii

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022

Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi.

Mbeya to Moshi
Tuwasiliane.
 
HELLOW anyone? Madereva hili hamjalitazama bado tu?
 
Kiufupi ingefaa nipate transporter au mtu mwenye ruti za huko, maana vitu vyangu pekee haviwezi jaza fuso wala canter nzima sidhani
 
Hatimaye nilishapata na huu mjadala ninaufunga rasmi. Ahsanteni sana wana JEIEFU.

Kwa maelezo tu ni kwamba nilikuja kubahatisha malori ya watu wanaoleta maji ya Kilimanjaro Mbeya. Wanapatikana kule njia ya kwenda MUST pale pale kiwandani
 
Back
Top Bottom