Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

Nahitaji ushauri maeneo yapi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha master kwa bei poa ya kizalendo or n maeneo yapi katika mkoa wa Dar ni mazuri kupanga na kuanza maisha
 
Kupanga sehemu ambayo kufika kwako ni kama unaenda mkoani nako ni kipaji

Yani kuishi porini ni kipaji unackia kilometer 2 na nusu kutoka lami bajaji 500 boda boda buku na Noah 500 ukishuka majaji ni mwendo tu wa dakika Yani umepanda mwendokasi au daladala umeshuka ukapanda bajaji au Boda unashuka na unatembea boda boda haifki nje ya nyumba[emoji119][emoji16] Yani mateso ya nini hayo[emoji3062]
 
80000-120000

Usiogope vipo vya bei hiyo lakini mitaa sasa usichague ukitaka kuchagua mtaa usichague bei mana zinakua za moto mifano hiyo hapo vya bei hizo










 

Attachments

  • IMG_9760.png
    250.8 KB · Views: 1
Ok, numekupata vyema kabisa
 
Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
kama vya bei nafuu, Nenda mbagala mkuu,, chumba sebule nasikia efu 40 tu uko.. ...
 
Hahaha bora kulipa 200K ukae road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…