Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

Hahaha bora kulipa 200K ukae road

Hata mimi naona hivi sabbu kodi inatafutwa ndan ya miez sita unapambana ila nauli ni daily unahitaj utoke urudi emmergency mvua shida usafiri Yani unaishi mbali unajikita inakucost kila siku ni bora kulipia bei kubwa ukaishi ambapo usafiri sio tabu sana ukishuka gari kama ni mtu wa public transport kama ni wa uber bac unalipa kubwa na Gari haifki Yani ni mateso kuishi porini
 
Kwa ule usafiri wa mbagala aiseeh siwezi enda kule n kama jehunum

Sinza mwananyamala magomeni kinondon mwenge unaweza pata kuanzia 130-150k japo iliochoka master tu lkn Hamna sebule wala jiko
 
Njoo kigambono daraja jipya la nyerere
IMG-20210608-WA0000.jpg
 

Nyinyi ndio wasaga sumu mleta mada wala usihofu kama unaviweza vya kuchoka na vyenye muonekano hayo maeneo yote vpo unapata wewe katafute dalali tu kama huna lazima ya vyipa
IMG_9771.jpg

IMG_9772.jpg

IMG_9773.jpg

IMG_9774.jpg

IMG_9775.jpg

IMG_9776.jpg

IMG_9777.jpg

IMG_9778.jpg

IMG_9779.jpg
 
kama vya bei nafuu, Nenda mbagala mkuu,, chumba sebule nasikia efu 40 tu uko.. ...
Na uliyemsikia basi kakudanganya! Kwa hiyo bei labda ndani ndani kabisa huko, ambako ukipiga na gharama za bodaboda, basi bora tu ukapange sehemu ya kawaida utakayolipa 100K.
 
Unamuuliza nani?[emoji848] Kama ni mm niliepost picha bac cjui nimezichkua instagram hizo picha kwa madalali wapo zaidi ya 20 huko katafute mmoja au usearch uangalie but kwa uzoefu maeneo km hayo sio chini ya 150K Ila masafa ni marefu huko porini utaenda
Mkuu wewe mstaarabu kama mimi.. mtu mwingine angemjibu hovyo maana hizo picha hadi bei zinaonekana.
 
Mkuu wewe mstaarabu kama mimi.. mtu mwingine angemjibu hovyo maana hizo picha hadi bei zinaonekana.

Watu wengne wanakua wanataka kuvuruga mood ya mtu tu better kuwapotezea unaongea kitu anapinga bila hoja ukweli ndio upi hana
 
Back
Top Bottom