Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

Hahaha bora kulipa 200K ukae road

Hata mimi naona hivi sabbu kodi inatafutwa ndan ya miez sita unapambana ila nauli ni daily unahitaj utoke urudi emmergency mvua shida usafiri Yani unaishi mbali unajikita inakucost kila siku ni bora kulipia bei kubwa ukaishi ambapo usafiri sio tabu sana ukishuka gari kama ni mtu wa public transport kama ni wa uber bac unalipa kubwa na Gari haifki Yani ni mateso kuishi porini
 
Kwa ule usafiri wa mbagala aiseeh siwezi enda kule n kama jehunum

Sinza mwananyamala magomeni kinondon mwenge unaweza pata kuanzia 130-150k japo iliochoka master tu lkn Hamna sebule wala jiko
 

Nyinyi ndio wasaga sumu mleta mada wala usihofu kama unaviweza vya kuchoka na vyenye muonekano hayo maeneo yote vpo unapata wewe katafute dalali tu kama huna lazima ya vyipa







 
kama vya bei nafuu, Nenda mbagala mkuu,, chumba sebule nasikia efu 40 tu uko.. ...
Na uliyemsikia basi kakudanganya! Kwa hiyo bei labda ndani ndani kabisa huko, ambako ukipiga na gharama za bodaboda, basi bora tu ukapange sehemu ya kawaida utakayolipa 100K.
 
Mkuu wewe mstaarabu kama mimi.. mtu mwingine angemjibu hovyo maana hizo picha hadi bei zinaonekana.
 
Mkuu wewe mstaarabu kama mimi.. mtu mwingine angemjibu hovyo maana hizo picha hadi bei zinaonekana.

Watu wengne wanakua wanataka kuvuruga mood ya mtu tu better kuwapotezea unaongea kitu anapinga bila hoja ukweli ndio upi hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…