David ayeya
Member
- Feb 3, 2021
- 33
- 42
Kwa mwezi angalau mil.2.5 hadi mil.3Unataka faida ya shiling ngapi kwa siku?
Ningepata 5mil ningeanzisha kiwanda kidogo cha kusambaza maziwa.Habarini wakuu,
Kwa mtaji wa shilingi Milioni 20 ninaweza kufanya biashara gani?
Mimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayoWewe unataka kufanya biashara gani ambayo inaendana na mazingira uliyopo? In maana una hela hujui uifanyie nini?
Kwenye lodge hapana labda kwenye nafaka mkuujamani wenye hela alafu hatuji tufanye nini kumbe tupo wengi.
mzeya na mie nina million 20 tuunganishe mitaji tufungue japo kalodge tutapata hela maana wagegedaji n wagegedwaji wanazidi kuongezeka tuu
sasa basi tufungue mgahawa mzeya hatuwezi lala njaaaKwenye lodge hapana labda kwenye nafaka mkuu
kama umeshafikiria kufanya nafaka, ifanyie utafiti wa kina kabla ya kuianza usije chemka kama hardwareMimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayo
Biashara ya nafaka ni nzuri ukipata sehemu zenye mzunguko mkubwa mfano Tandika au Mbagala....Mimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayo
Halafu avune mabua [emoji23]Nipe mie nikutunzie. [emoji23][emoji23][emoji23]
Duka la vinywaji vya jumlaHabarini wakuu,
Kwa mtaji wa shilingi Milioni 20 ninaweza kufanya biashara gani?
Asante kwa ushauri mkuuBiashara ya nafaka ni nzuri ukipata sehemu zenye mzunguko mkubwa mfano Tandika au Mbagala....
Unaweza kuwa unanunua Kwa wakulima wakifika nayo Kisha wewe unaweka store na Kila gunia unaongeza elfu kumi tu...Kwa maana Kila Kilo utaongeza faida ya 100, wenye store nao nadhani huongeza 100 so unaweza kuipata hiyo faida unayotaka Kwa mwezi...
Anza Sasa kuzungukia mitaa hiyo ujenge urafiki na watu
Tatizo ni location mkuu coz competition ni kubwa sana!
Mkuu pole kwa changamoto hioMimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayo