Nahitaji ushauri wa aina ya Biashara kwa mtaji wa milioni 20

Wewe mwenyewe umeshajaribu kuwaza kufanya jambo gani?
 
jamani wenye hela alafu hatuji tufanye nini kumbe tupo wengi.
mzeya na mie nina million 20 tuunganishe mitaji tufungue japo kalodge tutapata hela maana wagegedaji n wagegedwaji wanazidi kuongezeka tuu
Kwenye lodge hapana labda kwenye nafaka mkuu
 
Mimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayo
Biashara ya nafaka ni nzuri ukipata sehemu zenye mzunguko mkubwa mfano Tandika au Mbagala....

Unaweza kuwa unanunua Kwa wakulima wakifika nayo Kisha wewe unaweka store na Kila gunia unaongeza elfu kumi tu...Kwa maana Kila Kilo utaongeza faida ya 100, wenye store nao nadhani huongeza 100 so unaweza kuipata hiyo faida unayotaka Kwa mwezi...

Anza Sasa kuzungukia mitaa hiyo ujenge urafiki na watu
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom