Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 561
- 1,112
Hii kwa hapa dar nahisi inalipa sana huku mjini sijawai kuona mtu anafunga cowNingepata 5mil ningeanzisha kiwanda kidogo cha kusambaza maziwa.
nanunua Friza kubwa sana..
naagiza maziwa vijijini huko nasikia lita 1 wanauza hadi sh mia 8, huku mjini ni elfu 2
basi biashara inaanza polepole