Nahitaji ushauri wa aina ya Biashara kwa mtaji wa milioni 20

Nahitaji ushauri wa aina ya Biashara kwa mtaji wa milioni 20

Ningepata 5mil ningeanzisha kiwanda kidogo cha kusambaza maziwa.

nanunua Friza kubwa sana..

naagiza maziwa vijijini huko nasikia lita 1 wanauza hadi sh mia 8, huku mjini ni elfu 2

basi biashara inaanza polepole
Hii kwa hapa dar nahisi inalipa sana huku mjini sijawai kuona mtu anafunga cow
 
Nipe mie nikutunzie. [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapana wewe huaminiki

Aje kwangu tufungue kituo cha polisi sehemu yenye vibaka wengi, tuanze na vibaka wawili ndani ya wiki mahabusu kunafurika!!!
Tunajipigia mpunga wetu safi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hapanaaa, bora anipee mie khaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hapanaaa, bora anipee mie khaah

Tatizo wewe unatunza ni rahisi kuzitafuna udugu

Mimi tunaingiza kwenye mzunguko, yeye anicheck tufanye hiyo business hatojutia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayo
Pole sana kwa changamoto, kama hutojali unaweza kugusia kidogo changamoto inayokusukuma kubadili biashara? Sababu biashara ya hardware ni biashara yenye uwezekano mkubwa wa kukua na ni bidhaa muhimu au za lazima..
 
Back
Top Bottom