Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 561
- 1,112
Hii kwa hapa dar nahisi inalipa sana huku mjini sijawai kuona mtu anafunga cowNingepata 5mil ningeanzisha kiwanda kidogo cha kusambaza maziwa.
nanunua Friza kubwa sana..
naagiza maziwa vijijini huko nasikia lita 1 wanauza hadi sh mia 8, huku mjini ni elfu 2
basi biashara inaanza polepole
Uko wapi! Set your standards, be creative hutakosa watejaTatizo ni location mkuu coz competition ni kubwa sana!
Nipo Dar
Nenda karoge competition uishindeTatizo ni location mkuu coz competition ni kubwa sana!
Sasa yako mbna nafaka inafaa tyuuh.Kwenye lodge hapana labda kwenye nafaka mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu mie mtunzaji mzuriiii mnooo.
Nipe mie nikutunzie. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hapanaaa, bora anipee mie khaahHapana wewe huaminiki
Aje kwangu tufungue kituo cha polisi sehemu yenye vibaka wengi, tuanze na vibaka wawili ndani ya wiki mahabusu kunafurika!!!
Tunajipigia mpunga wetu safi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hapanaaa, bora anipee mie khaah
Hata wee pension zako, nipe nikuwekeee.[emoji3064][emoji1544][emoji1787][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu mie mtunzaji mzuriiii mnooo.
Hata wee pension zako, nipe nikuwekeee.
Bahati nzuri umeandika MIKIONI na sio milioni....anyway nadhani ni akili yako ndogo ndio imekuongoza kuandika nonsense!Mwandiko sio wa mtu anayemiliki mikioni20
Pole sana kwa changamoto, kama hutojali unaweza kugusia kidogo changamoto inayokusukuma kubadili biashara? Sababu biashara ya hardware ni biashara yenye uwezekano mkubwa wa kukua na ni bidhaa muhimu au za lazima..Mimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayo