6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Leseni itategema na aina ya biashara ..lakini duka la kawaida itakuwa kama ~ tshs 80,000/mwakaAsante sana , kwan leseni bei gan mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leseni itategema na aina ya biashara ..lakini duka la kawaida itakuwa kama ~ tshs 80,000/mwakaAsante sana , kwan leseni bei gan mkuu
Biashara zipo nyingi ndugu kuna, biashara ya viungo Kama Hiliki karafuu n.k inategemea interesting yako lakini njia za kupita zipoHabar JF..!
Mi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana jf naombeni mnishauri biashara gan naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. Nb: Mimi kama mim nawaza nifungue kigenge ili niweze niuze vitu vidogo (kama kaduka hivi)...
Ulishawahi fanya hiyo biashara ya kufungua kiduka hapo awali?Habar JF..!
Mi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana jf naombeni mnishauri biashara gan naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. Nb: Mimi kama mim nawaza nifungue kigenge ili niweze niuze vitu vidogo (kama kaduka hivi)
Sasa nimekuja hapa niweze kuomba ushauri kwenu je mawazo yangu yapo sahihi hayo ya kufungua kiduka??
Na kama yapo sahihi nawezaje kumantain hilo duka.
Na kama mawazo yangu hayapo sahihi nini naweza kufanya biashara gani kwa mtaji huo 1.2m. Naombeni ushauri wenu natanguliza shukran[emoji120][emoji120]
Mkuu Jiulize kwanza hiyo milioni 1.2 uliipataje? Kama uliipata kwa kufanya shughuli furani bas mkuu usiiache hiyo shghur just unachotakiwa kufanya ni kuongeza value katika hiyo shughur iliyokuletea hiyo milioni 1.2, usiingie kweny biashara mpya hiyo pesa bado ni ndogoHabar JF..!
Mi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana jf naombeni mnishauri biashara gan naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. Nb: Mimi kama mim nawaza nifungue kigenge ili niweze niuze vitu vidogo (kama kaduka hivi)
Sasa nimekuja hapa niweze kuomba ushauri kwenu je mawazo yangu yapo sahihi hayo ya kufungua kiduka??
Na kama yapo sahihi nawezaje kumantain hilo duka.
Na kama mawazo yangu hayapo sahihi nini naweza kufanya biashara gani kwa mtaji huo 1.2m. Naombeni ushauri wenu natanguliza shukran[emoji120][emoji120]
Shukran sana kwa ushauriMkuu Jiulize kwanza hiyo milioni 1.2 uliipataje? Kama uliipata kwa kufanya shughuli furani bas mkuu usiiache hiyo shghur just unachotakiwa kufanya ni kuongeza value katika hiyo shughur iliyokuletea hiyo milioni 1.2, usiingie kweny biashara mpya hiyo pesa bado ni ndogo
Inaitwa afya mazingira..Environmental health...pia subiri intern mdogo wangu acha kujikondesha bure kwa sasa.Nipo Dar, nasomea afisa mazingira ( environmental health sciences),, mimi napenda biashara ya duka means reja reja au jumla
Shukran kwa ushauriInaitwa afya mazingira..Environmental health...pia subiri intern mdogo wangu acha kujikondesha bure kwa sasa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda biashara ya duka je umewahi kufanya biashara yoyote hapo kabla?Habar JF..!
Mi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana jf naombeni mnishauri biashara gan naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. Nb: Mimi kama mim nawaza nifungue kigenge ili niweze niuze vitu vidogo (kama kaduka hivi)
Sasa nimekuja hapa niweze kuomba ushauri kwenu je mawazo yangu yapo sahihi hayo ya kufungua kiduka??
Na kama yapo sahihi nawezaje kumantain hilo duka.
Na kama mawazo yangu hayapo sahihi nini naweza kufanya biashara gani kwa mtaji huo 1.2m. Naombeni ushauri wenu natanguliza shukran[emoji120][emoji120]
HapanaUnapenda biashara ya duka je umewahi kufanya biashara yoyote hapo kabla?
Ok, iyo ya duka inaweza ikakomba hela yote uliyonayo maana lazima upange fremuHapana
Shukran kwa ushauriOk, iyo ya duka inaweza ikakomba hela yote uliyonayo maana lazima upange fremu
Nilitaka kukuambia uwekeze nusu ya pesa uliyonayo wakati nusu ingine umeiweka Kama akiba ukiwa unasikilizia maendeleo ya biashara lakini kwa biashara ya duka sidhani Kama itawezekana.
Mwanzo ni mgumu na biashara yoyote changamoto hazizuiliki hiyo pesa ni nyingi sana na ni ndogo sana inategemea na wewe ulivyojipanga hata kwenye ajira wanataka mtu mwenye uzoefu na kwenye biashara ni hivyo hivyo?
Utapataje uzoefu?
Wekeza hiyo laki mbili hiyo milioni ifiche
Fanya utafiti tafuta biashara ya laki au laki mbili fanya baada ya muda utakuwa umepata uzoefu mkubwa sana na hiyo milioni itakusaidia mbele ya safari.
Narudia tena usiweke mayai yote kwenye kapu moja.
Shukran kwa ushauri
Hapa labda anunue kitu kinoma kimoja. Mfano sukari mfuko mmoja, mchele labda kilo mia, mafuta ya kupikia ni deal sana maana nimeuza ila faida yake i nahitaji uwe na roho ngumu sana.Sasa mkuu environmental health sciences okay tuko sawa, ushasema una penda biashara ya duka iyo 1.2milioni inakutosha wewe hapo kuanza.
Nunua mchele
Sukari
Mafuta
Maharage
Nazi
Maji
Unga wa ngano
Sabuni
Vocha za simu.
Vinywaji
Miswaki
Dawa za Meno
Steel wire za vyombo
Rangi za viatu
Mafuta ya kujipaka
Anza na hivyo vitu kwa wingi tega mtaa fanya kazi mauzo kwa siku hukosi.
Anzisha danguro...inalipa sanaHabar JF..!
Mi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana jf naombeni mnishauri biashara gan naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. Nb: Mimi kama mim nawaza nifungue kigenge ili niweze niuze vitu vidogo (kama kaduka hivi)
Sasa nimekuja hapa niweze kuomba ushauri kwenu je mawazo yangu yapo sahihi hayo ya kufungua kiduka??
Na kama yapo sahihi nawezaje kumantain hilo duka.
Na kama mawazo yangu hayapo sahihi nini naweza kufanya biashara gani kwa mtaji huo 1.2m. Naombeni ushauri wenu natanguliza shukran[emoji120][emoji120]
Aanze taratibuHajalipa kodi, kurekebisha fremu[emoji848] kwa hiyohiyo 1.2
Hivi Internship ni miezi mingapi ?Inaitwa afya mazingira..Environmental health...pia subiri intern mdogo wangu acha kujikondesha bure kwa sasa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app