Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria hauwarushu wao kukaa kwako kipindi mahakama inafanya kazi yake.Ni kweli nipo sawa kisheria lakini kama unavyojua mahakama zetu zinachukua mda kumaliza shauri na wanatumia fursa kupandikiza chuki kwa watoto dhidi yangu mm baba mzazi
Kote huko nimeenda ila wanasema nisubiri kesi iliopo mahamani hawawezi kuliingilia hilo jambo. Mm naangalia mda unaotumika mahakamani na chuki wanayopandikiza kwa watoto dhidi yang ni hatariWafukuze. wakigoma nenda kwa balozi na mwenyekiti wa mtaa wakusaidie.
Hii ngoma ngumuKote huko nimeenda ila wanasema nisubiri kesi iliopo mahamani hawawezi kuliingilia hilo jambo. Mm naangalia mda unaotumika mahakamani na chuki wanayopandikiza kwa watoto dhidi yang ni hatari
DahTatizo wametengeneza mazingira mahakamani na hakimu kwa sababu mm sio raia wa Tz
Tatizo linaanzia hapa!!Wakike .....Mie sio raia wa hapa Tz na Mkaazi haya nilimnununulia Mke wangu Sasa kiegezo ni kwamba hapa ni kwa Dada yao
Na Atakae elekea kibla ndiyo achinje!!Umepewa mke mwingine kijanja, tongoza wote
Sasa tatizo liko wapi ikiwa kwenye Mirathi ya Marehemu umeweka majina ya Watoto wa Marehemu kwenye Nyumba ya Marehemu!!??Amani ilikuwepo tena ya kutosha. Tatizo limeanza baada ya kufungua mirathi na kuandika watoto kama wanufaika ndio matatizo yalipo anzia
Ulifanya kitu Cha maana Sana,kinachobaki ni kuwaacha wapambane wao wenyewe wakikuzingua inabidi uende nao kwa Kasi ya 4G km wanavyotakaAmani ilikuwepo tena ya kutosha. Tatizo limeanza baada ya kufungua mirathi na kuandika watoto kama wanufaika ndio matatizo yalipo anzia
WaoeJinsia ya kike
Kumbe Jambo lipo tayari Mahakamani unaangaika nini sasa!? Subiri hukumu ili uwone inasemaje and then you can take it from there!!!Kote huko nimeenda ila wanasema nisubiri kesi iliopo mahamani hawawezi kuliingilia hilo jambo. Mm naangalia mda unaotumika mahakamani na chuki wanayopandikiza kwa watoto dhidi yang ni hatari
Hao mashemeji ni wa kike au wa kiume?Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.
Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?
Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
Vp vibali vyako vya uhamiaji vyote viko sahihi!!?? Isije kua una vibali Magumashi ndiyo maana wanaamua kukuchezesha gwaride, maana Mimi Kama Mimi wangeondoka wenyewe kutokana na life yetu ya kibongo,Sasa wwe lazima utakua mtasha wao!!Tatizo wametengeneza mazingira mahakamani na hakimu kwa sababu mm sio raia wa Tz
Wanalika!Hao mashemeji ni wa kike au wa kiume?
Je wana umri gani?
Maliza safisha vyombo weka kabatiniWanalika!