Nahitaji ushauri wa kisheria?

Nahitaji ushauri wa kisheria?

Ni kweli nipo sawa kisheria lakini kama unavyojua mahakama zetu zinachukua mda kumaliza shauri na wanatumia fursa kupandikiza chuki kwa watoto dhidi yangu mm baba mzazi
Sheria hauwarushu wao kukaa kwako kipindi mahakama inafanya kazi yake.
 
Kote huko nimeenda ila wanasema nisubiri kesi iliopo mahamani hawawezi kuliingilia hilo jambo. Mm naangalia mda unaotumika mahakamani na chuki wanayopandikiza kwa watoto dhidi yang ni hatari
Hii ngoma ngumu

Uwo mgawanyo wanaoutaka wao ni wa mali ngani
 
wana taka mgao hizo mali mlichuma wote? usha wa andika watoto ina tosha wanataka nini zaidi? au kuna kitu kina cho endelea chini kwa chini labda wanahisi uta uza mali na kutokomea kusiko julikana.
 
Amani ilikuwepo tena ya kutosha. Tatizo limeanza baada ya kufungua mirathi na kuandika watoto kama wanufaika ndio matatizo yalipo anzia
Sasa tatizo liko wapi ikiwa kwenye Mirathi ya Marehemu umeweka majina ya Watoto wa Marehemu kwenye Nyumba ya Marehemu!!??
 
Amani ilikuwepo tena ya kutosha. Tatizo limeanza baada ya kufungua mirathi na kuandika watoto kama wanufaika ndio matatizo yalipo anzia
Ulifanya kitu Cha maana Sana,kinachobaki ni kuwaacha wapambane wao wenyewe wakikuzingua inabidi uende nao kwa Kasi ya 4G km wanavyotaka
 
Hapo oa binti mmoja kati yao.
Ni vile ukoo wa mke umeshindwa kukuomba umwoe binti meingine kwao wanatumia njia hiyo.
Ukifanya hivyo utaiokoa familia yako (watoto haswa).
 
Kote huko nimeenda ila wanasema nisubiri kesi iliopo mahamani hawawezi kuliingilia hilo jambo. Mm naangalia mda unaotumika mahakamani na chuki wanayopandikiza kwa watoto dhidi yang ni hatari
Kumbe Jambo lipo tayari Mahakamani unaangaika nini sasa!? Subiri hukumu ili uwone inasemaje and then you can take it from there!!!
 
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.

Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?

Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
Hao mashemeji ni wa kike au wa kiume?
Je wana umri gani?
 
Tatizo wametengeneza mazingira mahakamani na hakimu kwa sababu mm sio raia wa Tz
Vp vibali vyako vya uhamiaji vyote viko sahihi!!?? Isije kua una vibali Magumashi ndiyo maana wanaamua kukuchezesha gwaride, maana Mimi Kama Mimi wangeondoka wenyewe kutokana na life yetu ya kibongo,Sasa wwe lazima utakua mtasha wao!!
 
Back
Top Bottom