Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu alikua Mama wa Nyumbani na nilinunua mali zote na kuandika jina lake kwa sababu kisheria mtu ambae si Mtanzania Sheria haimruhusu kumiliki haswa Ardhi .....Cha Msingi nimeandikisha warithi kua ni wanangu ndio tatizoSasa tatizo liko wapi ikiwa kwenye Mirathi ya Marehemu umeweka majina ya Watoto wa Marehemu kwenye Nyumba ya Marehemu!!??
waweke ndani hao acha uzembe we kaa nao vizuri tuh
Vibali viko sawa manake wameshajaribu kunibambikiza kesi mpaka za madawa ya kulevya lakini Mungu yupo.....Vp vibali vyako vya uhamiaji vyote viko sahihi!!?? Isije kua una vibali Magumashi ndiyo maana wanaamua kukuchezesha gwaride, maana Mimi Kama Mimi wangeondoka wenyewe kutokana na life yetu ya kibongo,Sasa wwe lazima utakua mtasha wao!!
Tatizo lipo kwenye chuki inapandea kwa watoto na ujue kesi za Mahakamani haziishi Leo kama umetengenezewa mazingira ya kukudhulumu au kuchelesha haki Yako. Shida ni muda na uaribifu haswa kwa watotoKumbe Jambo lipo tayari Mahakamani unaangaika nini sasa!? Subiri hukumu ili uwone inasemaje and then you can take it from there!!!
Njoo pmMkoa wa Mwanza
Chukua watoto peleka kwemu kwa muda kama hawasomiTatizo ni kwamba matumizi nayafanya kwa ajili ya wanangu na ndio kiegezo wanacho kitumia kufaidi kupita hapo.
Duh hii ni tabia ya wanawake wengi wa TZ, wakameruni wamepigwa sana na vitu vizito kwa kujemga majumba in the name of wake zao waliowapata hapa ikiwemo deportationWakike .....Mie sio raia wa hapa Tz na Mkaazi haya nilimnununulia Mke wangu Sasa kiegezo ni kwamba hapa ni kwa Dada yao
Mama wa hao watoto amefariki so ww ndio mtu sahihi wa kuwalea hapo chukua watoto wahamishe kabisa bongo kwa kigezo cha kwenda kuwasomesha nnje ya nchi huko kwenu baada ya hapo funga nyumba kapange sehem nyingineTatizo lipo kwenye chuki inapandea kwa watoto na ujue kesi za Mahakamani haziishi Leo kama umetengenezewa mazingira ya kukudhulumu au kuchelesha haki Yako. Shida ni muda na uaribifu haswa kwa watoto
Kama hii ni kweli basi inaonekana na wewe kuna vitu umeficha kuweka wazi hapa. Hapa mbona case ipo clear kabisa? 1. Mwanamke alikuwa mke wako 2. Watoto ni wako. 3. Nyumba ni zenu na marehemu. Hao ndugu zake wanapata wapi ground ya kukaa kwako au kudai chochote? Kimsingi nyumba hata kama hukujenga wewe au iko kwa jina la mama, bado watoto ndiyo warithi halali kama ulivyowaandikisha. Hao ndugu wanakataa kuondoka kwa misingi gani? Wanadai nini kwenye hiyo nyumba? Umeenda polisi ili waje wawaondoe? Wanakaa hapo kwa misingi gani ya sheria? Kabla ya mke wako hajafariki walikuwa wanakaa wapi? Kwa nini usitumia akili kutatua tatizo kwa kuondoa watoto na kufunga nyumba kwa muda?Tatizo lipo kwenye chuki inapandea kwa watoto na ujue kesi za Mahakamani haziishi Leo kama umetengenezewa mazingira ya kukudhulumu au kuchelesha haki Yako. Shida ni muda na uaribifu haswa kwa watoto
Basi hapo hawana chao tafta mwanasheria atakusaidia ila kaa ukijua vitimbi havitaisha watu wakiwa na njaa watakutaftia kila aina ya vitimbi. Kuna kesi ililetwa hadi humu kuwa mkamerun na mnaija wakamatwa na materials za kutengeneza pesa haram... Source ilikuwa nyumba na huyo mkamerun kafungwa miaka 9Wamejaribu sana hilo la deportation imeshindikana. Documents zang ziko vzr.
Kesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio napigwa tarehe akwa sababu wametengeneza mazingira mahakamaniKama hii ni kweli basi inaonekana na wewe kuna vitu umeficha kuweka wazi hapa. Hapa mbona case ipo clear kabisa? 1. Mwanamke alikuwa mke wako 2. Watoto ni wako. 3. Nyumba ni zenu na marehemu. Hao ndugu zake wanapata wapi ground ya kukaa kwako au kudai chochote? Kimsingi nyumba hata kama hukujenga wewe au iko kwa jina la mama, bado watoto ndiyo warithi halali kama ulivyowaandikisha. Hao ndugu wanakataa kuondoka kwa misingi gani? Wanadai nini kwenye hiyo nyumba? Umeenda polisi ili waje wawaondoe? Wanakaa hapo kwa misingi gani ya sheria? Kabla ya mke wako hajafariki walikuwa wanakaa wapi? Kwa nini usitumia akili kutatua tatizo kwa kuondoa watoto na kufunga nyumba kwa muda?
Sasa hapa unashindwaje kuwatimua kutoka kwenye nyumba yako? Unawezaje kuishi na watu wa aina hii nyumba moja? Wakiamua kukufanyia kitu kibaya si ni rahisi sana? Tafuta mtu mkorofi (hasa mwanamke) panga naye deal aje aishi hapo kama mpangaji na kuwafanyia fujo.Kesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio napigwa tarehe akwa sababu wametengeneza mazingira mahakamani
Kama huko Mahakamani kesi yako inafanyiwa figisu,nenda kwa Msajili umueleze uwone nae atakupa ushauri gani! Angalizo hakiksha huyo Msajili nae asije tu akawa tayari wamesha muwona kwa mlango wa nyuma hao Mashemeji zako!!Kesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio napigwa tarehe akwa sababu wametengeneza mazingira mahakamani
Kuwa makini sana sana ña hao watuKesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio napigwa tarehe akwa sababu wametengeneza mazingira mahakamani