Nahitaji ushauri wa kisheria?

Nahitaji ushauri wa kisheria?

Kwanza upo mkoa gani tunaweza kuoata ufumbuzi au nikakuelekeza sehemu nzuri ya kwenda ili usaidiwe watoto wasije wakapata tabu bila ya sababu
 
Sasa tatizo liko wapi ikiwa kwenye Mirathi ya Marehemu umeweka majina ya Watoto wa Marehemu kwenye Nyumba ya Marehemu!!??
Mke wangu alikua Mama wa Nyumbani na nilinunua mali zote na kuandika jina lake kwa sababu kisheria mtu ambae si Mtanzania Sheria haimruhusu kumiliki haswa Ardhi .....Cha Msingi nimeandikisha warithi kua ni wanangu ndio tatizo
 
Vp vibali vyako vya uhamiaji vyote viko sahihi!!?? Isije kua una vibali Magumashi ndiyo maana wanaamua kukuchezesha gwaride, maana Mimi Kama Mimi wangeondoka wenyewe kutokana na life yetu ya kibongo,Sasa wwe lazima utakua mtasha wao!!
Vibali viko sawa manake wameshajaribu kunibambikiza kesi mpaka za madawa ya kulevya lakini Mungu yupo.....
 
Kumbe Jambo lipo tayari Mahakamani unaangaika nini sasa!? Subiri hukumu ili uwone inasemaje and then you can take it from there!!!
Tatizo lipo kwenye chuki inapandea kwa watoto na ujue kesi za Mahakamani haziishi Leo kama umetengenezewa mazingira ya kukudhulumu au kuchelesha haki Yako. Shida ni muda na uaribifu haswa kwa watoto
 
Tatizo ni kwamba matumizi nayafanya kwa ajili ya wanangu na ndio kiegezo wanacho kitumia kufaidi kupita hapo.
Chukua watoto peleka kwemu kwa muda kama hawasomi
Kama wanasoma waite hao mashemeji waambie hali ya uchumi imeyumba kwahiyo inatakiwa kupunguza matumizi so kila mmoja aanze kujitafuta
 
Wakike .....Mie sio raia wa hapa Tz na Mkaazi haya nilimnununulia Mke wangu Sasa kiegezo ni kwamba hapa ni kwa Dada yao
Duh hii ni tabia ya wanawake wengi wa TZ, wakameruni wamepigwa sana na vitu vizito kwa kujemga majumba in the name of wake zao waliowapata hapa ikiwemo deportation
 
Tatizo lipo kwenye chuki inapandea kwa watoto na ujue kesi za Mahakamani haziishi Leo kama umetengenezewa mazingira ya kukudhulumu au kuchelesha haki Yako. Shida ni muda na uaribifu haswa kwa watoto
Mama wa hao watoto amefariki so ww ndio mtu sahihi wa kuwalea hapo chukua watoto wahamishe kabisa bongo kwa kigezo cha kwenda kuwasomesha nnje ya nchi huko kwenu baada ya hapo funga nyumba kapange sehem nyingine
 
Tatizo lipo kwenye chuki inapandea kwa watoto na ujue kesi za Mahakamani haziishi Leo kama umetengenezewa mazingira ya kukudhulumu au kuchelesha haki Yako. Shida ni muda na uaribifu haswa kwa watoto
Kama hii ni kweli basi inaonekana na wewe kuna vitu umeficha kuweka wazi hapa. Hapa mbona case ipo clear kabisa? 1. Mwanamke alikuwa mke wako 2. Watoto ni wako. 3. Nyumba ni zenu na marehemu. Hao ndugu zake wanapata wapi ground ya kukaa kwako au kudai chochote? Kimsingi nyumba hata kama hukujenga wewe au iko kwa jina la mama, bado watoto ndiyo warithi halali kama ulivyowaandikisha. Hao ndugu wanakataa kuondoka kwa misingi gani? Wanadai nini kwenye hiyo nyumba? Umeenda polisi ili waje wawaondoe? Wanakaa hapo kwa misingi gani ya sheria? Kabla ya mke wako hajafariki walikuwa wanakaa wapi? Kwa nini usitumia akili kutatua tatizo kwa kuondoa watoto na kufunga nyumba kwa muda?
 
Duh hii ni tabia ya wanawake wengi wa TZ, wakameruni wamepigwa sana na vitu vizito kwa kujemga majumba in the name of wake zao waliowapata hapa ikiwemo deportation
Wamejaribu sana hilo la deportation imeshindikana. Documents zang ziko vzr.
 
Basi hapo hawana chao tafta mwanasheria atakusaidia ila kaa ukijua vitimbi havitaisha watu wakiwa na njaa watakutaftia kila aina ya vitimbi. Kuna kesi ililetwa hadi humu kuwa mkamerun na mnaija wakamatwa na materials za kutengeneza pesa haram... Source ilikuwa nyumba na huyo mkamerun kafungwa miaka 9
 
Kama hii ni kweli basi inaonekana na wewe kuna vitu umeficha kuweka wazi hapa. Hapa mbona case ipo clear kabisa? 1. Mwanamke alikuwa mke wako 2. Watoto ni wako. 3. Nyumba ni zenu na marehemu. Hao ndugu zake wanapata wapi ground ya kukaa kwako au kudai chochote? Kimsingi nyumba hata kama hukujenga wewe au iko kwa jina la mama, bado watoto ndiyo warithi halali kama ulivyowaandikisha. Hao ndugu wanakataa kuondoka kwa misingi gani? Wanadai nini kwenye hiyo nyumba? Umeenda polisi ili waje wawaondoe? Wanakaa hapo kwa misingi gani ya sheria? Kabla ya mke wako hajafariki walikuwa wanakaa wapi? Kwa nini usitumia akili kutatua tatizo kwa kuondoa watoto na kufunga nyumba kwa muda?
Kesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio napigwa tarehe akwa sababu wametengeneza mazingira mahakamani
 
Sasa hapa unashindwaje kuwatimua kutoka kwenye nyumba yako? Unawezaje kuishi na watu wa aina hii nyumba moja? Wakiamua kukufanyia kitu kibaya si ni rahisi sana? Tafuta mtu mkorofi (hasa mwanamke) panga naye deal aje aishi hapo kama mpangaji na kuwafanyia fujo.
 
Fanya kitu kimoja chukua watoto peleka kwa mama yako au ndugu yako kwa muda tu. Kisha sitisha huduma zote muhimu hapo nyumbani kwa kipindi kisicho julikana.vikwazo vya kiuchumi muhimu tu.Baada ya muda wenyewe watasepa
 
Kesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio napigwa tarehe akwa sababu wametengeneza mazingira mahakamani
Kama huko Mahakamani kesi yako inafanyiwa figisu,nenda kwa Msajili umueleze uwone nae atakupa ushauri gani! Angalizo hakiksha huyo Msajili nae asije tu akawa tayari wamesha muwona kwa mlango wa nyuma hao Mashemeji zako!!
 
Ngoja niwaulize watawala wa Dubai tunatanyaje kwa kesi Kama hii.
Maana ule mkataba unasema tusifanye kitu bila kuwataarifu.
 
Kesi ya Mirathi ilikua tayari hukumu imeshatoka kua Mm ni administrator na warithi ni watt. Wakatoa pingamizi Kisha wakajarobu kunitengenezea kesi ya madawa ya kulevya na illegal immigrant. Lakini yote yamepita nipo kihalalli na documents ziko sawa. Tunasuburi hukumu kuhusu ya pingamizi ndio napigwa tarehe akwa sababu wametengeneza mazingira mahakamani
Kuwa makini sana sana ña hao watu
 
Back
Top Bottom