Nahitaji ushauri wako kuhusu saratani ya damu

hematological malignancy nyingi ni leukemia zinatibika na chemo, nenda ocean road watakupa ushauri mzuri zaidi
 
Mungu akuponye na uzima wa Mungu na pumzi ya Mungu iingie ndani yako. Hakuna kinacho shindikana kwake . amen
 
Ni upande wa kushoto unaweza hisi uvimbe kwa kujigusa au maumivu kwa mbali


HUWA NAHISI KAMA KUNACHOMA KWA MBALI KK,KUNA KIPINDI FULANI WALIVYONIAMBIA HIVYO NIMETUMIA SANA DAWA ZA KISWAHILI HALI ILITULIA KABISA LAKINI NAHISI IMEANZA TENA KWA MBALI....HUWA MIFUPA INAKUUMA PIA?
 
Kansa za damu zips za aina nyingi. Je wewe walikuambia uliyo nayo inaitwa je? Nikijua hilo nitakupa ushauri zaidi.
 
Pole sana ndugu. Nipo hospitali moja hapa India, kuna mama kutoka Kenya anatibiwa cancer ya damu kwa kufanya born marrow transplant,alivyonieleza ni kwamba wanaua cell za cancer halafu baada
ya muda ndio wanaweka born marrow toka kwa donor, mtu mnayematch. Gharama zao ni kubwa,kiasi. Kama utapenda nitakupa contacts uulizie zaidi.
 
ukweli naujua ila siwez kukushauri i felt sad naomba kilamtu a google source of cancer ili ajue jins ya kuepuka tatizo maana baadh ya kansa hazina dawa na tuepuke usasa tukidhan ni ufahal sijui soseji baga piza magarita spain wine na nk we kula dona bamia tembele togwa mbege na nk utakua salama
 
Pole mkuu i wish ningekuwa najua zaid kukusaidia. Ila nitakushauri ule sana vegetables,kitungu swaumu,binzari,tikiti maji ni baadhi ya vitu ambavyo ukila vinaweza kupbamana na kansa hio pia madawa makali. Mungu akujalie upone haraka.
 
Please usije ukathubutu kutumia Mionzi wala matibabu ya hosp,
kwa kuanzia labda ufuatilie thread za Deception ,
 
Asante sana ndugu,nami pia nilishauriwa kufanya hivyo,nitafurahi ukinipa details zaidi na ni hosp ipi
 
Pole mkuu i wish ningekuwa najua zaid kukusaidia. Ila nitakushauri ule sana vegetables,kitungu swaumu,binzari,tikiti maji ni baadhi ya vitu ambavyo ukila vinaweza kupbamana na kansa hio pia madawa makali. Mungu akujalie upone haraka.
Thanks
 
Asante
 
Hakika siwezi dharau nitafanya hivyo maana nilikua natumia kitunguu swaumu chenyewe ktk maji ya uvuguvugu ss nitachanganya na asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…