Nahitaji ushauri wenu wadau

Nahitaji ushauri wenu wadau

othumani kaka

Member
Joined
Apr 3, 2020
Posts
16
Reaction score
6
Nailifanya mapenzi na msichana mmoja ambae kwa hapa mtaani kwetu inasemekana ameathirika. Na kibaya zaidi huyo msichana atumii dozi(ARV). Na katika kufanya nae mapenzi sikutumia kinga. Yapata miezi mitatu toka nifanye nae mapenzi naona dalili ambazo ni tata kwangu.1:kuvimba kwa vitu kama vipele kwandani ya ngozi na vigumu.
2:kukaza sehemu za maungio ya viungo(joint) na nikivinyosha vinalia koo
3:kikohizi kikavu yapata miezi3 sasa.
Nimeenda kupima HIV majibu yamekuja negative. Na nimepima mala3 sehemu tofauti tofauti majibu ni hayo hayo. Ivi shida ni nini. Naombeni ushauri wenu wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh pole sana, umekwisha Kuna mjomba angu alianza ivyoivyo, alienda kupima sehemu 5 akaambiwa hana, ila baada ya miezi 4 mbele akaambiwa ana maambukizi mpaka muda huu ninapoongea na wewe tumemzika mwezi uliopita kwa kufariki kwa ugonjwa w HIV

Sent using komputa mpakato
 
Hahahahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwoga wako tu mkuu.
HIv sio kilahisi hivyo na uzuri umepima relax. Mzeeya.
Kihusu hivyo vipele hiyo itakuwa allergy nenda kwa Doctor.
Hiyo joint ku knok. [emoji23][emoji19]tumia mlenda bamiabamia kwa sana .

Sent using myLG leon
 
Saikolojia tu inakusumbua bn,mambo fresh af subiri miez kadhaa hv na siku nyingine huu uzi ni kule ....,baada ya kuingia ndani km hv .hapa ni mlangoni sa umeanza na matatizo kwahiyo husalimii ndani au?
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidipo.
 
Duh pole sana, umekwisha Kuna mjomba angu alianza ivyoivyo, alienda kupima sehemu 5 akaambiwa hana, ila baada ya miezi 4 mbele akaambiwa ana maambukizi mpaka muda huu ninapoongea na wewe tumemzika mwezi uliopita kwa kufariki kwa ugonjwa w HIV

Sent using komputa mpakato
dah we jamaa wewe😆😆
 
"Looking and looking and looking for an illness often actually produce illness"

Amini majibu uliyopewa na wataalamu, usiwe na shaka wala hofu. Amini huko salama.

Warning!!: Epuka ngono zembe jali kesho yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom