othumani kaka
Member
- Apr 3, 2020
- 16
- 6
Nailifanya mapenzi na msichana mmoja ambae kwa hapa mtaani kwetu inasemekana ameathirika. Na kibaya zaidi huyo msichana atumii dozi(ARV). Na katika kufanya nae mapenzi sikutumia kinga. Yapata miezi mitatu toka nifanye nae mapenzi naona dalili ambazo ni tata kwangu.1:kuvimba kwa vitu kama vipele kwandani ya ngozi na vigumu.
2:kukaza sehemu za maungio ya viungo(joint) na nikivinyosha vinalia koo
3:kikohizi kikavu yapata miezi3 sasa.
Nimeenda kupima HIV majibu yamekuja negative. Na nimepima mala3 sehemu tofauti tofauti majibu ni hayo hayo. Ivi shida ni nini. Naombeni ushauri wenu wadau
Sent using Jamii Forums mobile app