Chimulenge
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 219
- 150
Cc Erythrocyte changamkia tenda ili uwe busyNahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kusave chakula kwenye bar.
Awe mwenye muonekano maridadi.
Awe mzoefu na kazi.
Awe mchapa kazi.
Kazi ipo Dodoma, wakazi wa dodoma watapewa kipaumbele
Mshahara maelewano kwa aliyetayari tuwasiliane 0622723082 kazi inaanza kesho
Dodoma Iringa road
Naona unautafutia mchepuko wako kazi ili uendelee kula kilainii kabisa.
Hakikanafikikiri ulimaanisha ku-serve
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Naona unautafutia mchepuko wako kazi ili uendelee kula kilainii kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sanaMm wakishaanza kazi ntakuja kupata kinywaji hapo niwatest ubora wao