Achana na Upumbavu nyie majitu mpoje mtu ana shida unaleta ujingaView attachment 2603318
Huyo hapo
Mkuu, wanasheria wana ofisi hawafanyi kszi mitandaoni, aende kwenye ofisi zao, anatujazia servers tuAchana na Upumbavu nyie majitu mpoje mtu ana shida unaleta ujinga
Mkuu, wanasheria wana ofisi hawafanyi kszi mitandaoni, aende kwenye ofisi zao, anatujazia servers tu
Ni mtazamo tu, kama mimi ninavyokuona wewe ni mpori poriWe hamjitambui Wala hauna Akili za busara
siku 45 zinaanzia katika siku na terehe ambayo hukumu ilitolewa,Hivyo changa karata zako mapema na kwa wakatiHabarini wana Great Thinkers
Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa rufaa mahakama kuu mjini Mbeya.
Hivyo basi nahitaji wakili au mwanasheria aliyepo mjini Mbeya ili tuweze kuzungumza.
NB: Naomba kuuliza pia hizi siku 45 wanazotoa baada ya hukumu kuwa inatakiwa rufaa ifunguliwe kabla ya siku 45 kupira. Je zinahesabiwa tokea siku ya hukumu ya kesi au inahesabiwa baada ya hakimu kusaini file la kukata rufaa?
Wasalaam
unaweza kuendelea kukata rufaa hata kabla ya kuto kwa hukumu au baadhi ya document kuwa hazisaijiniwa,ila i vyema ukapata wakili ambaye atakusaidia katika rufaaZikipita hizo siku 45 na bado hakimu hajasaini file inakuwaje hapo?
Ndio hapa natafuta WAKILI, mana nilimpata wakili mmoja lakini ameniingiza chaka. Alisema wataanza kuhesabu hakimu akisaini file la hukumuunaweza kuendelea kukata rufaa hata kabla ya kuto kwa hukumu au baadhi ya document kuwa hazisaijiniwa,ila i vyema ukapata wakili ambaye atakusaidia katika rufaa
Mtafute Kaliboth ofisi zake zipo Mbeya peak hotelZikipita hizo siku 45 na bado hakimu hajasaini file inakuwaje hapo?
all the bestNdio hapa natafuta WAKILI, mana nilimpata wakili mmoja lakini ameniingiza chaka. Alisema wataanza kuhesabu hakimu akisaini file la hukumu
Yupo sahihi siku zinahesabiwa pale ambapo judgement imesainiwa na hakimuNdio hapa natafuta WAKILI, mana nilimpata wakili mmoja lakini ameniingiza chaka. Alisema wataanza kuhesabu hakimu akisaini file la hukumu
Kuna changamoto moto mkuu kwenye maelezo yako kesi za ardhi hazisikilizwi mahakama ya mwanzo bali migogoro ya ardhi huwa inaanza kwenye mabaraza ya ardhi ya kata ikitoka hapo inaenda mabaraza ya wilaya ,sasa je wewe kesi yako ilikuwa baraza la wilaya au?Habarini wana Great Thinkers