Chuo kinatoa kozi gani ni vizuri uongeze nyama mkuu ili tupate ufahamu.Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo kipo arusha na kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri mno kilakitu kipo sawa. Tafadhali DM ili tuweze kuzungumza Kama upo interested
Ni chuo cha swamaki ....wanyama pori.... upishi..ufundi au mambo ya mpalangeh🙂Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo kipo arusha na kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri mno kilakitu kipo sawa. Tafadhali DM ili tuweze kuzungumza Kama upo interested
🙌🤣Ni chuo cha swamaki ....wanyama pori.... upishi..ufundi au mambo ya mpalangeh🙂
kwa comments zilivyoanza hakuna partiners humu...all the best lady
Usishangae wakawepokwa comments zilivyoanza hakuna partiners humu...all the best lady
KOZI za hoteli, utalii, ufundi nakadhalika naamini mwenye interest atakuja dmChuo kinatoa kozi gani ni vizuri uongeze nyama mkuu ili tupate ufahamu.
Atakayekua tayari ndiye atajulishwa kinaitwajeKinaitwaje na mnatoa course zipi?
Mkuu ili mtu awe patner lazima afanye analysis ya mambo kadhaa,teknolojia imeendelea sana saiv kama unaona shida kutaja jina weka hata website ya chuo chako ili watu wakajiridhishe hizo sifa unazokimwagia...Atakayekua tayari ndiye atajulishwa kinaitwaje
Ndio mkuu naogopa sana WATANIIBIA chuo changu wakipeleke makambako iwe ngumu kukitafuta tenaMkuu ili mtu awe patner lazima afanye analysis ya mambo kadhaa,teknolojia imeendelea sana saiv kama unaona shida kutaja jina weka hata website ya chuo chako ili watu wakajiridhishe hizo sifa unazokimwagia...
AU UNAOGOPA WATAKUIBIA CHUO CHAKO!!?
"....... washirikina wa kuleta wanafunzi????" Ndo kitu gani hicho Mr. MkurugenziHabari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo kipo arusha na kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri mno kilakitu kipo sawa. Tafadhali DM ili tuweze kuzungumza Kama upo interested
Wameelewa waliokuja ukiona hujaelewa jua wewe si mlengwa"....... washirikina wa kuleta wanafunzi????" Ndo kitu gani hicho Mr. Mkurugenzi
Unataka niwe transparent kwako wewe Kama Nani? Walengwa wameelewa na wamekuja dm wewe mjuzi mkuzaji anzisha biashara zako uzikuze. Kwahiyo unaona no sahihi kuweka jina la chuo eneo ambalo tunatumia fake Id kupost Sasa uprivate wangu humu jf upo wapi kaka mjuzi?Sasa naanza kuelewa taratib kwann vitu vingi vinavyoanza bongo havikui, hapo hakuna transparent yyte, mtu atawezaje kukufata PM bila kuwa na details za kumvuta aje PM? Embu tu seriousl bas eti chuo kitaibiwa from websites? Daah, kama ww n director unapaswa kutafuta mtu mwenye maarifa zaidi yako, biashara ya elimu sio ya madini mtu akufate PM tuh, kama unaza uchi vile, tuwe serious jmn kama tunataka maendeleo… TUPO NYUMA SANA
Wewe dada ni mkali sana ila mimi sikuogopi lazima nilete wanafunzi utake usitake.Unataka niwe transparent kwako wewe Kama Nani? Walengwa wameelewa na wamekuja dm wewe mjuzi mkuzaji anzisha biashara zako uzikuze. Kwahiyo unaona no sahihi kuweka jina la chuo eneo ambalo tunatumia fake Id kupost Sasa uprivate wangu humu jf upo wapi kaka mjuzi?
🤣🤣🤣🤣 Hamna ndugu yangu watu wanazingua tu. Nashindwa kujibu dm zenu inaniumiza sana. Kama unamaanisha naomba uniambie nikutumie namba. Halafu sijui kwanini msg hazifunguki daaahWewe dada ni mkali sana ila mimi sikuogopi lazima nilete wanafunzi utake usitake.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Meseji hazifunguki kweli na PM haikubali yaani ni shida tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hamna ndugu yangu watu wanazingua tu. Nashindwa kujibu dm zenu inaniumiza sana. Kama unamaanisha naomba uniambie nikutumie namba. Halafu sijui kwanini msg hazifunguki daaah
Angalau imekubali baada ya kudownload app upyaMeseji hazifunguki kweli na PM haikubali yaani ni shida tupu
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app