Nahitaji washirika/partners

Nahitaji washirika/partners

ladyfocus

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
968
Reaction score
711
Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo kipo arusha na kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri mno kilakitu kipo sawa. Tafadhali DM ili tuweze kuzungumza Kama upo interested
 
Chuo kinatoa kozi gani ni vizuri uongeze nyama mkuu ili tupate ufahamu.
 
Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo kipo arusha na kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri mno kilakitu kipo sawa. Tafadhali DM ili tuweze kuzungumza Kama upo interested
Ni chuo cha swamaki ....wanyama pori.... upishi..ufundi au mambo ya mpalangeh🙂
 
kwa comments zilivyoanza hakuna partiners humu...all the best lady

Kama unaamka asubuhi na negativity hiv cjuii utamalizaje siku

IMG_0885.jpg
 
Mkuu ili mtu awe patner lazima afanye analysis ya mambo kadhaa,teknolojia imeendelea sana saiv kama unaona shida kutaja jina weka hata website ya chuo chako ili watu wakajiridhishe hizo sifa unazokimwagia...
AU UNAOGOPA WATAKUIBIA CHUO CHAKO!!?
Ndio mkuu naogopa sana WATANIIBIA chuo changu wakipeleke makambako iwe ngumu kukitafuta tena
 
Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo kipo arusha na kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri mno kilakitu kipo sawa. Tafadhali DM ili tuweze kuzungumza Kama upo interested
"....... washirikina wa kuleta wanafunzi????" Ndo kitu gani hicho Mr. Mkurugenzi
 
Sasa naanza kuelewa taratib kwann vitu vingi vinavyoanza bongo havikui, hapo hakuna transparent yyte, mtu atawezaje kukufata PM bila kuwa na details za kumvuta aje PM? Embu tu seriousl bas eti chuo kitaibiwa from websites? Daah, kama ww n director unapaswa kutafuta mtu mwenye maarifa zaidi yako, biashara ya elimu sio ya madini mtu akufate PM tuh, kama unaza uchi vile, tuwe serious jmn kama tunataka maendeleo… TUPO NYUMA SANA
 
Unataka niwe transparent kwako wewe Kama Nani? Walengwa wameelewa na wamekuja dm wewe mjuzi mkuzaji anzisha biashara zako uzikuze. Kwahiyo unaona no sahihi kuweka jina la chuo eneo ambalo tunatumia fake Id kupost Sasa uprivate wangu humu jf upo wapi kaka mjuzi?
 
Wewe dada ni mkali sana ila mimi sikuogopi lazima nilete wanafunzi utake usitake.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣 Hamna ndugu yangu watu wanazingua tu. Nashindwa kujibu dm zenu inaniumiza sana. Kama unamaanisha naomba uniambie nikutumie namba. Halafu sijui kwanini msg hazifunguki daaah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hamna ndugu yangu watu wanazingua tu. Nashindwa kujibu dm zenu inaniumiza sana. Kama unamaanisha naomba uniambie nikutumie namba. Halafu sijui kwanini msg hazifunguki daaah
Meseji hazifunguki kweli na PM haikubali yaani ni shida tupu

Back
Top Bottom